kujengwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  2. kimsboy

    Nashauri Kujengwa kwa Barabara ya Makongo–Kawe kupitia Lugalo Maporini

    Mtu anatoka Makongo anaenda Mbezi Beach, Kawe au Lugalo, kwa nini azungukie Mlimani? Hii ndiyo inayochangia foleni. Nashauri barabara ipasuliwe itokee pale Makongo Sekondari au Super, ili wanaotoka Makongo wawe wanapita moja kwa moja huko badala ya kupita Mlimani. Hii itapunguza kwa kiasi...
  3. Zack Abdul

    Mwanamke Ghali Zaidi: Anayeondoka Baada Ya Kujengwa

    Mwanamke Ghali Zaidi Ni Yule Anayeondoka Baada Ya Kujengwa Wanaume, Wanawake wanaowaumiza wanaume kifedha sio wale wavivu pekee. Mara nyingi— ni wale wanawake ambao mwanaume aliwasaidia kuinuka. Yule mwanamke aliyemuamini. Aliyemwekeza. Aliyemsapoti kihisia, kifedha, na kiakili. Yule...
  4. B

    Mkopo ili gati 10 zaidi kujengwa kupanua bandari ya Dar es salaam 2026

    05 May 2026 Tanzania yapanua miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam ili kukabiliana na ongezeko la mizigo Tanzania yapanua bandari ya Dar es Salaam ili kuimarisha biashara ya kikanda kwa kujenga gati 10 mpya https://m.youtube.com/watch?v=5KZlgZiaEhM Upanuzi huo utasaidia bandari kushughulikia...
  5. M

    Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

    Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
  7. Think2

    Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  8. Xmonster

    Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  9. R

    Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

    Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni? Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi mpango huo...
  10. PAYE

    Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Kasekenya: Barabara ya Kasindaga - Runazi (km 37.6) kujengwa kwa lami

    Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inatafuta fedha kwa kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa barabara ya Kasindanga - Runazi (km 37.6) mkoani Kagera ili ijengwe kwa kiwango cha lami. Akijibu swali la Mbunge wa Muleba Kusini, Dkt. Oscar Ishengoma...
  11. petro matei

    Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  12. Sifi Leo

    DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

    Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa? Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
  13. Pdidy

    Hatimae choo cha Mbezi Stand kimeanza kujengwa

    THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII GODBLESS YOU ALL GODBLESS YOUNG AFRICANS SC TUKUTANE JION PALE CHINI
  14. Kitchener

    DSM kujengwa mfumo wa trams? zingatieni hili

    Tafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji au wanajenga mfumo wa trams kama nchi zingine. Naomba kutoa tahadhari hii manake bongo kwa upigaji...
  15. Traxtion

    Ulipokuwa mgodi wa Buzwagi kujengwa Kongani maalumu ya viwanda

    Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji katika eneo hilo. Hatua hiyo imewekwa wazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  16. Hance Mtanashati

    Video: Huu ndio uwanja uliopo Msoga unaotakiwa kujengwa kumuenzi Mzee Kikwete

    Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon. Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20. Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kairuki: Nitahakikisha barabara za jimbo la Kibaha kujengwa kwa lami

    Ahadi ya mgombea ubunge jimbo la Kibamba @angellah_kairuki kuhusu kurekebisha miundombinu ya jimbo hilo, baadhi ya barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami
  18. Meneja Wa Makampuni

    Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  19. Yoda

    Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  20. stabilityman

    Je kiwanja cha 27 kwa 15 kinaweza kujengwa nyumba ya vyumba vingap? Soma hapa

    Nimeulizwa swali Je kiwanja cha 27 kwa 15 kinaweza kujengwa nyumba ya vyumba vingap? Kiwanja chenye urefu wa mita 27 na upana wa mita 15 kinaweza kubeba idadi tofauti ya vyumba kulingana na mpangilio wa ramani, aina ya ujenzi, na nafasi ya fensi. 1. Idadi ya Vyumba Unavyoweza Kupata ✅ Nyumba ya...
Back
Top Bottom