Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu.
Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine .
Mungu aliamua kumaliza uadui ule kwa kumleta Yesu kristo Kuja kuwapatanisha Mungu na mwanadamu kwa kuhubiri upendo kwa wote .
Ni bahati mbaya kwamba Mwanadamu hajaweza kumwamini Yesu kristo kuwa ni mwana wa Mungu!! Yesu ni mfalme wa amani na ndiyo Maana alihubiri kusamehe Saba mara sabini. Mpalestina na mwarabu wamegoma kukubali kuwa Yesu ni mfalme wa amani lakini pia kuna Wayahudi wamegoma kukubali kuwa Yesu ni mfalme wa amani. Mwisho wake ni vita kule na kule Kati ya mataifa na makabila .
Kwa sababu mwanadamu amegoma kukubali kuwa Yesu kristo ni mfalme wa amani basi Mungu ndiye ataamua ugomvi kwa kumleta Yesu mara ya Pili.
Akili za mwanadamu ni shiida mpaka MUNGU akajuta kumuumba