mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji kachukua viwanja vyangu vinne Kijiji Cha Msufini Kidete – Mkuranga, Pwani, kila ninapoenda hakuna msaada

    Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wananchi wateketeza kwa moto shamba la mwekezaji wakitafuta panya kwa ajili ya kitoweo!

    Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema moto huo umesababishwa na wananchi walioukuwa wakitafuta kitoweo cha Panya...
  3. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kauli kuhusu Mwekezaji Tim Draper kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika

    TAARIFA KWA UMMA KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ Dodoma 31 Agosti 2026 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaya 67 za Msakangoto (Tanga) tumebomolewa makazi yetu, tunalala nje, tunaambiwa Mwekezaji atupe laki 2 tuondoke!

    Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
  6. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tuma timu ichunguze Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu (Tabora), Mwekezaji 'amewaweka mfukoni’ watendaji, Wananchi hawanufaiki

    Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora. Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji mwenye leseni ya utafiti anatuzuia Wananchi kuchimba madini Kijiji cha Patamela, Wilaya ya Songwe

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji ambapo sisi Wananchi tumekosa eneo la kuchimba madini. Sisi ni wachimbaji wadogo hatuna leseni ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

    Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano. Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari kiwanda chake kimezungukwa na makazi ya watu. Nyumba zetu zinapata shida za nyufa na madali...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa ukiritimba alio nao Dangote bora atafutwe mwekezaji mwingine

    Mwanzoni nilidhani Dangote ni mtu safi ila baada ya kufuatilia nimegundua ni mtu mbinafsi anayependa apate peke yake. Hataki ushindani. Huko kwao Nigeria analaumiwa kushika biashara nzima ya mafuta peke yake kwa kisingizio cha uzalendo. Pia kuna malalamiko kutoka nchi kadhaa za Afrika kuhusu...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mzungu amlalamikia mpangaji kumdhulumu eneo lake karatu

    Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo, Timothy Flavell, kudai kuwa anajaribiwa kutapeliwa na mpangaji wake, Erick Mashauri. Flavell, raia...
  17. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anahitajika haraka hapa

    Nyumba inahitajika mwekezaji Location KARIAKOO Mtaa wa Kipata na Kongo. sqm 260 Hati Safi. Anatakiwa muekezaji wa kuingia ubia ajenge anachotaka. 📱0754693556
  18. American nigga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach, wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji

    Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji. Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hai: Mwekezaji kijiji cha Mbosho, Kata ya Masama Kati amepanda uzio wa miba uliosogea barabarani na kupelekea njia kuwa nyembamba

    TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
Back
Top Bottom