Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze...
Waweza pitia uzi huu
Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri, msimu huu inabidi apewe mkataba wa Senior team, Kocha anamwambia kijana aende akampakue kocha ili a...
South Africa, timu zinazokwenda kwenye CAF confederation ni timu ya tatu na timu ya nane. Kwa Tanzania, tunawakilishwa na timu ya tatu na ya nne. Kuna nnini?
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe,
Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.
Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Honla
Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama
Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
Haya mafundisho mawili yamekuwa magumu sana kuyapokea kupokelewa na waumini waliowengi
1)KATAZO MAPAMBO KWA WANAWAKE NA KUJIREMBA Ikiwemo mavazi ya suruali kwa wanawake(mavazi yampasayo mwanaume kuvaliwa na mwanamke na kinyume chake
2)POMBE/ULEVI,UZINZI,uasherati,NA MICHEZO YA...
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
Ningependa kuleta mjadala kuhusu goal la kwanza kwenye mechi ya Haiti dhidi ya Scotland.Kwa maelezo ya tukio hilo, goli lilitokana na shot ya mchezaji wa Scotland john McGinn iliyopigwa kuelekea golini . Mpira ulikuwa unakwenda moja kwa moja golini, lakini ukamgonga mchezaji wa Haiti ambaye...
Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV.
Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa
Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”.
Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
Uchambuzi wa mpira wa miguu (Football Analysis) si kubahatisha matokeo tu — ni uelewa wa kina wa jinsi mchezo unavyochezwa kupitia takwimu, mbinu, na maamuzi ya timu na wachezaji ndani ya uwanja.
👉 Kwanini timu inashinda?
👉 Kwanini nyingine inapoteza hata ikiwa na wachezaji bora?
👉 Tactical...
Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo...
Nchi wazalishaji wakubwa wa kondomu(Malaysia na Thailand) zinapanga kuongeza bei ya kondomu kwa asilimia 20-30 sababu ya kupanda kwa bei za uzalishaji(mafuta). Gloves nazo zitapanda sababu mlolongo wake ni kama wa kondomu tu.
Wakati wa covid nchi kondomu ziliadimika sana sababu ya kuyumba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.