The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye mhasisi wa Taifa hili.
Tarehe 14 october siku ya kumbukumbu yake kifo.
Viongozi wanaishi maisha yake au tuwakumbushe maisha ya Kambarage.
Moja hakuwa mroho na mlafi wa mali.
Angeweza kujimilikisha majengo ya kariakoo .
Tofauti na sasa majengo ya kariakoo ya...
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Siku za mapumziko za Siku ya Taifa la China inajulikana kama “Wiki ya Dhahabu” nchini China. Wiki hiyo iliyomalizika hivi karibuni ilikuwa tena fursa muhimu kwa dunia kuielewa China. Vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo Reuters, Yahoo Finance, na Forbes vimefuatilia ongezeko kubwa la matumizi...
Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa
Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni.
Deni la nje: Sh75.89 trilioni
Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz
Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97.
Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao.
Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
Habari Tanzania !...
Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.
1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.
Ombi langu;
Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu.
Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani.
Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi
Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
Uongozi ndani ya CCM kwa sasa sio vigezo tena nadhan kwa sasa ni mkumbo na uchawa matokeo yake taifa linapoteza kabisa sifa na heshima pamoja na uwajibikaji, nchi inanuka wizi ,rushwa,ubadhirifu na mauaji .
Ushindi wa Jihan miss grand international unaendelea kudhihirisha jinsi gani umoja wa rangi/races, makabila na dini ni faida zaidi kwa Tanzania.
Kwa siku za hivi karibuni Tanzania haijawahi kuonekana kinara katika jambo kubwa la kimataifa. Imechukua Mtanzania mwenye asili ya Lebanon kutuweka...
Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho?
Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka.
Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika.
Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana.
Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa.
👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria.
👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma.
Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi.
Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ni moja ya Hifadhi tano zilizopo mikoa ya kanda ya Kaskazini ambazo ni Tarangire ,Manyara,Arusha na Kilimanjaro .
Hifadhi hii ya mkomazi inaunganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga ikiwa na ukubwa wa Kilometa za mraba 3245 ikiwa umbali wa Kilometa 112 kutoka Moshi...
Ndugu wana-JamiiForums,
Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.