utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  2. Medical Dictionary

    MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Habari wanajukwaa, Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia? Natanguliza shukrani.
  3. GENTAMYCINE

    Nani alikuja na huu Utaratibu wa Kimasikini na wa Kishamba ndani ya Vichwa vya baadhi ya Watanzania?

    Sijui ni lini hii Poverty Mentality itaondoka ndani ya Vichwa vya Watanzania. Yaani unakutana na Mtu ana Simu ya Thamani Kubwa sana na ya Kisasa ( tena Boss mahala fulani ) halafu tena unamkuta ana Kasimu ka Shilingi Efu Aobaini au Elfu Thelathini na ukimuuliza kwanini ana hiyo Simu atakujibu...
  4. A

    Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  5. Tman900

    Utaratibu wa Kutunza Document. Posta/ Bank

    Kuna documents nilipozitunza Naona sio Salama. Je kuna utaratibu wa Kutunza Document Hapa Tanzania.(Posta/Bank) Utaratibu ukoje.
  6. Erythrocyte

    Utaratibu uliotumika kubadili Azam Federation Cup hadi kuwa CRDB Federation cup ni upi?

    Naomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe Natanguliza Shukranii .
  7. MSAGA SUMU

    Naomba utaratibu wa kuhudhuria arobaini ya mzee wangu Mwinyi

    Tukiwa tunaelekea arobaini ya mzee wetu Mwinyi nilikuwa nataka kupata utaratibu wa kushiriki. Sikupata nafasi ya kukutana na rais Mwinyi kumpa pole kama walivyofanya watu wengine sababu ya ubize lakini nataka kujitahidi kushiriki 40. Ningependa kufika ikulu ya Zanzibqr siku moja kabla ya 40...
  8. Triple G

    Naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka shule binafsi kwenda serikalini

    Habari! Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school). Kijana analelewa na Bibi...
  9. C

    Utaratibu wa Manispaa Hadi Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  10. TANESCO

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  11. chiembe

    Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  12. P

    Rais Samia: Wakuu wa Mikoa na Wilaya fuateni utaratibu wakati wa kuvunja mikataba, mnatutia hasara

    “Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
  13. Makamura

    KERO Ving'ora na Plate Number zisizo rasmi vimekuwa kero Mitaani

    Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:- Namba za Ajabu Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
  14. plus_ix

    Utaratibu wa kupata bastola na teaser (ya kupiga shoti) upoje kisheria?

    Habarini wana jukwaa, naamini mko safi na maisha yanaeendeleaa na harakati zake. Nimekuja na dukuduku linalonitesa kwa muda sasa juu ya hizi bidhaa na upatikanaji wake. Nahitaji kufahamu hatua za awali kabisa japo mwanzo niliambiwa inabidi nianze kwa mtendaji wa mtaa, lakini ilikuwa muongozo tu...
  15. P

    Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  16. S

    Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  17. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  18. N

    Naomba utaratibu wa kuonana na Kuhani Musa Uso kwa Uso

    Wadau, Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye. Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
  19. DodomaTZ

    KERO Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani. Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
Back
Top Bottom