Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa.
Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii...
Wakuu habari za muda huu!
Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Habari wakuu.
Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot 👇
Nimejaribu kufungua link ikakataa...
Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000.
Niliposhangaa wanalipa kwa siku
Wakuu habari
Leo nimeona Tangazo chuo cha Bugando wanatarajia kutoa mafunzo ya mortually attendant
Nauliza vipi upatikanaji wake wa ajira kwa anayefahamu atujuze
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu.
Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili;
Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake.
Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.
Karibuni Sana
Mungu awabariki note.
Habari zenu wakuu,
Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi.
Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya
Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid.
Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
Ndugu wana Jf,
Kama kichwa kinavosema hapo juu, natafta rafiki wa kike mstaarabu, wakubadilishana nae mawazo mbalimbali, kwa atakayekua interested please naomba anitext pm.
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari.
Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa.
Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2.
Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000.
Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili.
Wastani wa...