utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. suhelmadyan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mahakama ya Rufaa Tanzania (CAT), Utaratibu wenu wa Fi'Fo ni wa KIBAGUZI

    Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli. Nina madai ya rufaa namba 700/2023 ambayo mpaka sasa hata kuwekwa kwenye mfumo wa tehama hayajawekwa, lakini ukiangalia...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

    Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical. Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Heche: Suala la Uhamiaji kusema sikufuata utaratibu kwenye suala la kwenda kumzika Odinda ni upotoshaji

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
  6. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Sijaupenda utaratibu wa NIDA wa kufungia namba

    Leo nilienda kupata huduma inayohusisha namba ya NIDA. Cha ajabu huduma sijapata kwakua namba yangu ya NIDA imefungiwa. Nilipotaka kujua sababu, nimeambiwa kuna zoezi lilifanyika la kufunga namba zote ambazo wamiliki hawajafuata vitambulisho vyao. Swali fikirishi. Ni wangapi wamehama mikoa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Bashe aliwahi kukemea utekaji na kutaka ukamataji ufuate utaratibu wa kisheria

  9. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Magari ya wanaCCM yakiwa na rangi za kijeshi kama magari ya kivita kinyume na utaratibu

    Hii si imezuiliwa kisheria?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

  12. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kumpata Bingwa Kwa kuangalia Head to Head endapo timu ziki tie poinits, ni wa ovyo

    Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
  13. Sales man

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  15. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

    Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje.. Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
  18. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Kwa utaratibu huu uliopo kwenye harusi ya kabila hili la Kinigeria, wanaume wenzangu tungetoboa kweli?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza. Huu utaratibu uko huko kwenye kabila moja la Nigeria linaitwa Ijaw ambapo mwanamke akiwa Bi Harusi kwenye harusi yake...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Leseni ya udereva ukifuata utaratibu itachukua wiki zaidi ya mbili kuipata lakini ukihonga waipata siku hiyohiyo

    Mimi ni mmoja wa wale watanzania ambao natumia sana leseni ya kimataifa ( international driving licence) pamoja na leseni ya nchi ninayoishi ambavyo huwa navyo mara zote. lakini nikiwa Tanzania huwa natumia leseni ya udereva ya Tanzania ambayo muda wake wa matumizi huwa ni miaka mitatu. Wakati...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Wanajua uchaguzi ukiwa huru, wa kifuata utaratibu na haki CCM hawawezi kupita

    Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda. Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
Back
Top Bottom