hoja

 1. Kamanda Asiyechoka

  Hoja ya ufisadi wa CCM kutunyanyua wapinzani, kama ilivyofanyika enzi zile list of shame ya mafisadi na sasa tuikiomalie na huu wasaa wa kuig'oa CCM

  List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu. Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi...
 2. Elius W Ndabila

  Hoja na Haja za Dkt. Tulia kuwa Spika wa Bunge

  HOJA NA HAJA ZA MHE DKT TULIA KUWA SPIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Ndani ya Chama Cha Mapinduzi mbio za kumpata Spika baada ya aliyekuwa Spika Mhe Jobu Ndugai kutangaza kujiuzulu wiki iliyopita. Wapo Makada wa CCM ambao wamekwisha kuchukua fomu na wapo wanaotajwa kuwa wanataka kuchukua...
 3. Roving Journalist

  Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
 4. Pulchra Animo

  Ubaya au uzuri wa kiongozi hauzifanyi hoja zake nazo kuwa mbaya au nzuri

  Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi. That’s a very serious problem. Ni kukosa intellectual maturity! Kimsingi, hatuhitaji kumpenda mtoa...
 5. W

  Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
 6. Yericko Nyerere

  Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

  Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
 7. B

  Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

  Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
 8. J

  Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!

  Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako" Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli. Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia! Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
 9. Nyankurungu2020

  Spika Ndugai alikuwa na hoja ya msingi, tatizo sio kukopa bali kukopa wakati kuna tozo za miamala ambazo mlidai zanajenga madarasa na vituo vya afya

  Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi. Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
 10. Idugunde

  Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

  Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme? Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6. Tumieni busara kujadili masuala ya msingi...
 11. MGOGOHALISI

  Badala ya kuwatumia wateule wenu kuanzisha michakato na kamati feki, CCM simameni mjibu hoja za washindani wenu

  Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
 12. B

  Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

  Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
 13. Pascal Mayalla

  Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

  Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they wish to achieve na kwa kususa huko they will...
 14. G

  Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

  Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
 15. Yericko Nyerere

  CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

  CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA. Na Yericko Nyerere Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
 16. Mzee Mwanakijiji

  Hoja Fyatu: Hisia ya Uduni (inferiority complex) miaka 60 baadaye...

  Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru... Tunajivunia mafanikio mengi.. Tunajitahidi kufanya mengi.. Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka.. Hadi wazungu watupongeze Hadi wazungu watukosoe Hadi wazungu watusikilize Hadi wazungu...
 17. S

  Kwa aina ya wanasiasa kama hawa wasioweza kusimamia hoja zao za kupambana na corona unatarajia nini?!

  Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri! Hapo hana hata barakoa.
 18. GENTAMYCINE

  Nilidhani mnaomjibu Waziri Ummy Mwalimu na Hoja yake ya 'Likizo na hakuna Twisheni' mna jipya, ila naona mnamjibu 'Utumbo' tu

  Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu. Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga? Kuna Mzazi Mmoja...
 19. figganigga

  Zitto Kabwe anahoji kuhusu Kiwanda cha Sukari, Kampuni ya Mkulazi Holdings

  Mwanasiasa anayeongea kwa Takwimu, Zitto Kabwe kaandika hivi; Juzi Nimeuliza hapa kuhusu Mradi wa Kiwanda cha Sukari Kampuni ya Mkulazi Holdings ambayo inamilikiwa na Shirika la NSSF na Jeshi la Magereza. Swali langu rahisi sana, KWANINI Wakala wa Barabara TANROADS ndiye aliyenunua mitambo ya...
 20. Matola

  Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

  Anaandika Askofu Bagoza PhD. TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema. Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
Top Bottom