★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanaendeleza maeneo waliyopewa kwa mujibu wa madhumuni yaliyokusudiwa, akisema kuyaacha bila shughuli na...
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga.
Ukitazama ni ubunifu mzuri
Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani.
1. Kwenye Urinal.
Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini.
2. ATM.
Haifai kusalimiana salimiana.
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
Anonymous
Thread
low voltage
maarufu
maeneo
mdogo
msikiti
sana
sauti
umeme
wakazi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango yanayoonyesha mipaka akisisitiza kuwa maeneo hayo hayapaswi kubadilishiwa matumizi.
Mhe. Mmuya...
Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A.
Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
Anonymous
Thread
amani
jirani
maeneo
mliman city
presha
sinza
usiku
wakazi
Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
Anonymous
Thread
biashara
maeneo
mbezi
mbezi mwisho
mwisho
uboreshaji
wadogo
wafanya biashara
Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili.
Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA
~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo
Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa lengo la kubaini maeneo yasiyoendelezwa na kutoa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Mameya nchini kuhakikisha maeneo ya Serikali na taasisi zake, ikiwemo maeneo ya wazi, yanapimwa na kumilikishwa kwa hati ili kulinda ardhi hiyo dhidi ya...
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi.
Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
Anonymous
Thread
mabasi
maeneo
msongamano
nje
public
public toilets
ukosefu
umma
vituo
vyoo
vyoo vya umma
Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za wananchi, wasianzishe ujenzi wa majengo ya aina hiyo hiyo mapya. Fedha hiyo iende kutekeleza...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika maeneo yanayoguswa na Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la TSF wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na...
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
Anonymous
Thread
bila
bila sababu
kukata
maeneo
sababu
tanesco
umeme
Cha bure gharama
Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA
TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA
MAENEO TAJWA
NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
Septemba 6, 2026 Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita alizungumza na Wanahabari, pamoja mambo mengine alizungumzia suala la El Nino na jinsi Serikali inavyoshindwa kujiandaa kukabiliana nayo.
ACT Wazalendo hatutaki maneno bila vitendo, kwa kuwa mvua hizi zinaweza kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.