muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
 1. Miss Zomboko

  UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

  Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
 2. FRANCIS DA DON

  Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vinasambaratishwa muda huu

  Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa. ================================ Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
 3. Naantombe Mushi

  Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

  Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
 4. GENTAMYCINE

  Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

  Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
 5. Mohamed Said

  Muda hautoshi na Maxence Melo

  MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza. Ameifanyia Tanzania makubwa. JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili. Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua...
 6. 2019

  Mbagala muda huu tupo gizani, nikisema Makamba hafai mnanopna nina nongwa, haya bhana

  Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mimi namchukia.
 7. U

  Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

  Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo 1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila...
 8. May Day

  Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

  Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani. Inaleta maudhi kuona baadhi...
 9. N

  Sikutarajia mpaka muda huu kuwa Simbachawene atakuwa bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani

  Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda. Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya. Waziri Simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana...
 10. rikiboy

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
 11. Ferruccio Lamborghini

  VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

  "Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia. Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando." Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
 12. britanicca

  Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

  Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
 13. C

  Rekodi yako ya muda mfupi sana wa safari kuendesha gari (private drive)

  Heshima mbele wadau Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari. Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati tukielekea msimu wa likizo mwezi Disemba. Share uzoefu wako, ni safari gari umewahi kwenda kwa muda...
 14. R

  Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

  Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
 15. Roving Journalist

  HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

  HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao. Ili kupata taarifa za...
 16. Tony254

  KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

  Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
 17. Time Traveller

  Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

  Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
 18. crome20

  Wamachinga hawachukiwi- Wanasiasa acheni taaluma ifanye kazi ili kupanga miji

  Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa. NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma . Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
 19. Analogia Malenga

  Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

  Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
 20. K

  Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

  Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
Top Bottom