Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
Anonymous
Thread
arusha
bila
hospital
kulipwa
miezi
miezi miwili
mshahara
wafanyakazi
Mimi ni mmoja wa wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara.
Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi...
Anonymous
Thread
banana
barabara
fidia
hali
hali ya hewa
hewa
kipunguni
kulipwakulipwa fidia
kupisha
wakazi
Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote
Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana.
Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote
Hivyo Lisu ataenda kufilisi serikali rasmi ikionekana hana hatia yoyote.
Halafu huyoooooooo anatimkia zaidi...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.
Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka
Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote.
Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi huo ni miongoni mwa maamuzi magumu zaidi maishani mwake, akieleza kuwa soka halikuwa kazi tu bali...
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.
Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi.
1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu.
Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA.
Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya kazi tangu mwaka jana akiwa bado hajastaafu, lakini mpaka sasa ni mwaka umepita tangu astaafu na...
ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa.
2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume.
Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
Hivi,
Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya?
Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu...
Anonymous
Thread
hatua
kulipwa
mahakama
malalamiko
mirathi
mkuu
mpaka
wakati
Mwaka jana mwanamke mmoja aliomba Gerald .Aliomba TSH200k as a kwa dharura. mara ya kwanza aliogopa lakini mwanadada alilia . Alikua anaitwa Mwende
Hakuwa na pesa kwa hivo ilibidi aombe KCB . Mungu akubariki sijui ningefanya nini
Ni sawa dada nenda utatue shida zako .usinikose umeona...
Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu.
Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine).
Hivyo...
Anonymous
Thread
benki
bodi
bodi ya mikopo
kulipwa
kupitia
madeni
mikopo
nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.