kusafiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  2. Vladmir Putini

    Msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya tanzania

    Wanajukwaa habarini za wakati huu. Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania. Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅) Naamini...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  4. Suley2019

    Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  5. Mwona24

    Passport inachukua muda gani?

    Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka...
  6. BARD AI

    Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
  8. Barakoa

    Hivi nawezaje kupata hati ya kusafiria pasipo kuwa na ushahidi wa safari au ushahidi wa biashara ninayoenda kufanya?

    Habari za muda huu wadau. Nina uhitaji wa kuwa na hati ya kusafiria, velelezo vyote vinavyohitajika katika kujaza fomu ninanvyo kasoro hicho moja nambari sita. Je, nawezaje kupata passport pasipo hicho kielelezo namba 6.
  9. dalalitz

    Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  10. Sildenafil Citrate

    Dr. Miguna: Rais Ruto Kanirejeshea hati yangu ya kusafiria

    Kupitia Ukurasa wake Rasmi kwenye mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna amesema kuwa Rais mpya wa nchi hiyo William Ruto amemrejeshea hati yake ya kusafiria baada ya Serikali ya nchi hiyo kuishikilia kwa siku 1687. Katika maelezo yake, Dr. Miguna amewatuhumu watu kadhaa wakiwemo Raila...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

    Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi. Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama. Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo. 1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
  12. New ID l

    Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

    Hello guys! Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
  13. Lady Whistledown

    Jumuiya ya Afrika Mashariki yaongeza muda wa matumizi ya pasi za kusafiria za kielektroniki

    Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani. Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
  14. Iamhonest

    Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  15. Sam Gidori

    Ghana: Kitambulisho cha Taifa kitawawezesha wananchi kusafiri bila Visa

    Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
  16. Namora

    Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  17. nusuhela

    Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Habari zenu wakuu Samahani, nilikuwa nataka kujua gharama za kupata hati ya kusafiria (passport) Na endapo taratibu zote zikakamilika, huchukua muda gani mpaka kutoka. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom