wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  2. Idugunde

    Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  3. U

    Kisa kilichonitokea kutibiwa na mwanafunzi wa udaktari, Siwezi kuja kukubali tena kuwa mwili wa kujifunzia matibabu kwa wanafunzi wa field

    Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe. Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa. Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
  4. jodac

    Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

    Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated. CHANZO CHA TATIZO Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
  5. Roving Journalist

    Kuelekea 2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  6. J

    Abdul kortini kwa mashtaka ya kubaka na kulawiti wanafunzi watano

    Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi. Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
  7. J

    RC Sendiga avaa sare za shule akiwakaribisha wanafunzi kwenye shule mpya

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati. Katika ukaribisho huo DC Sendiga amevaa sare za shule kama wavaavyo wanafunzi hao kwa lengo la kuwapa morali ya...
  8. Roving Journalist

    HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  9. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Kuna matatizo ya Kiufundi, Mtaala mpya wa Kidato cha 5 utaanza Mwaka 2025, kutakuwa na masomo mawili mapya kwa Wanafunzi wote

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara wakati Mamlaka zikijiandaa kwa ajili ya utekelezaji wa Mtaala mpya ngazi ya Kidato cha Kwanza kuna tatizo la kiufundi limetokea na hivyo Mtaala huo unatarajiwa kuanza 2025. Licha ya kutofafanua ttizo hilo, Waziri amesema...
  10. A

    KERO Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

    Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa. Sasa kinachotokea ni kwamba Tawi la CCM Main Campus linawahamasisha na limetoa tangazo kwamba ili mtu upewe mkopo wa...
  11. BLACK MOVEMENT

    Kwanini wanafunzi wa International schools wao huwa hawatolewi Darasani kwenda kushangilia watawala

    Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia...
  12. Mtukutu wa Nyaigela

    Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z mtupishe.
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Christina Mnzava Agawa Vifaa vya Michezo kwa Wanafunzi Shinyanga Vijijini

    MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
  14. K

    KERO Nini sababu ya kuwalipisha wanachuo pesa ili wapate AVN namba?

    Habari zenu wana Jamii Forums. Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa ukakasi ni juu ya swala la NACTVET kulazimisha wanafunzi wanaotaka kusoma hatua ya Degree kununua namba...
  15. Bushmamy

    Darasa kwenye Shule ya Msingi Tella limeporomoka kutokana na uchakavu, masomo yanaende, viongozi wameitelekeza

    Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu. Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
  16. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  17. M

    Polisi: Hakuna matukio ya utekaji watoto Mburahati shuleni, taarifa zilizosikika ni uongo na uzushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
  18. Roving Journalist

    Waziri Masauni awaonya Wanafunzi na Wasomi matumizi ya dawa za kulevya

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaonya wanafunzi walioko shuleni, vyuoni na taasisi nyingine za elimu kuacha na kutojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya, kwani kushiriki katika matumizi ya dawa hizo itasababisha nchi kupoteza nguvu kazi ambayo inategemewa katika...
  19. S

    Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

    Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni? Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa. Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
Back
Top Bottom