Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
Habari za muda huu Wana-JamiiForums,
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula.
Moja ya...
Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha.
Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa...
Anonymous
Thread
ajali
bila
chang'ombe
eneo
kufuata
makaburini
mamlaka
matuta
mbaya
wananchi
Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu.
Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu
CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
Habari za muda huu wanajamvi.
Hili swali linanisumbua sana naomba ufafanuzi wa kisheria pale mahakama za chini zikikaidi kufuata miongozo iliyowekwa na mahakama ya rufani katika kesi mbalimbali.
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji.
Haya...
Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka...
Jitahidi Usome Mpaka Mwisho
✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu.
✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana...
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk
Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili sawa na makanisa au taasisi za kidini?
Kama umefika umekuta watu wamepanga foleni au kuna mstari wanahudumiwa kwa nini usikae kwenye foleni na wewe usubirie zamu yako ili waliokutangulia kuwahi wahudumiwe kwanza?! Kama uko barabarani kwa nini unatanua?
Tabia za kipumbavu na kinyani za Waafrika zinaanzia mbali sana. Tukiwa shule ya...
Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe.
Zawadi uliyokuja nayo ni...
Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya.
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
Anonymous
Thread
kufuata
kusimamia
mpimbwe
pongezi
sheria
takukuru
uwajibikaji
wake
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo.
Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu?
Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
Anonymous
Thread
haki
halali
katika
kufuata
kwasababu
mamlaka
mwenza
suala
tamisemi
uhamisho
umma
utumishi
utumishi wa umma
watumishi
Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali
Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria
Nawasilisha
Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo.
Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali.
Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza.
Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu.
Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.