azam

 1. Suley2019

  Azam FC yajiondoa Kombe la Kagame

  Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar. Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV,Meneja Habari na Mawasiliano...
 2. Voice of Tanzania

  Msaada: Maboresho ya Azam TV

  Wadau naomba msaada wa transponder mpya za Azam TV kwa mwenye king'amuzi chake kilichopokea maboresho. Sipati channel za nyumani kwenye list ya channel zangu.
 3. Pdidy

  Feisal alisahau Baba na mama wake wako uwanjani

  Feisal ameulizwa ulipofunga uliweka isharaaaa uwanja mzima washike adabu ndio.... Je, unakumbuka baba na mama walikuwa uwanjan kaanza kucheka hahahaa kwahio wazazi wako nao washike adabuuuuu?? Jibulake inaendeleeeea
 4. J C

  Tunaomba sehemu ya USB kwa visimbuzi vya Azam isiwe ya kulipia

  Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio. Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash...
 5. Lupweko

  Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

  Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
 6. Pdidy

  Hii Yanga ukiinyamazisha tu lazima ikulambe!

  Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
 7. Tate Mkuu

  Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

  Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
 8. Erythrocyte

  Yanga yavuruga vikao vya bajeti baraza la wawakilishi, hii si sawa

  Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi? Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote walihudhuria mechi ya Yanga na Azam pale Aman Complex, na waliona kila kitu, Sasa kiherehere cha...
 9. Kichwa Kichafu

  Feitoto wakati unatunyamazisha Wana Dar Young Africans Kiukweli Ulifanikiwa, Ila Kiko Wapi?

  Habari za wakati huu. Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025. Young Africans aliibuka mshindi dhidi ya Azam Fc wa kombe la CRDB Bank Federation Cup 2023/2024 kwa mikwaju ya penalty. Sasa turudi kwa...
 10. Bila bila

  Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

  Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa...
 11. Majok majok

  Kama kuna kombe jingine uko la maana yanga waambiwe maana ndio kazi zao hapa mjini

  Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo! Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu ndogo inakamia mechi, Azam ilishachagua kukamia mechi pindi wanapocheza na yanga lakini wakicheza na...
 12. THE FIRST BORN

  Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

  Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA. Ila all in all BACCA hajastahili sisemei...
 13. sonofobia

  Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

  Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
 14. Mkalukungone mwamba

  Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

  Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
 15. M

  Jhonier Alfonso Blanco striker mpya wa azam ni Habari nyingine

  Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na...
 16. G

  Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

  NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
 17. NALIA NGWENA

  Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

  Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
 18. Smt016

  Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

  Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
 19. uhurumoja

  Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

  Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video...
 20. G

  Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

  Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
Back
Top Bottom