INTRODUCTION:
Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!!
Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana.
Tunasema ASANTE...!!
MAIN BODY:
Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha.
Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu.
Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba.
CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .
Zanzibar ni Alama...
Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo...
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.
Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.
Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.
Pili...
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 326.
Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Leseni ya Makazi.
Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi...
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada.
#first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
@prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA
@prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
Naileta mada hii kutokana na mwenzetu mmoja ambaye tulijadiliana naye! Hivyo naomba pia niwashirikishe nanyi kwakuwa pengine na kwa vyovyote wahitaji wapo
Tunapokuwa wakubwa na kujitambua huwa kuna vitu tunaviona sio vya kawaida kwenye ukoo na hata kwenye familia. Na mara nyingi vitu hivyo...
Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala
Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA
Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,
Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.
Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria.
Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.