mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mikoa imekabidhiwa mawaziri walezi ?

    Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo. Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
  4. Daraja Makofia

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nchimbi, CCM yapanga upya safu ya makatibu wa mikoa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani. Katika mabadiliko hayo...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti na mikoa zipo nyuma ?

    Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana 1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana 2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
  10. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

    10: Kagera 9: Geita 8: Mara 7: Mwanza 6: Katavi 5: Tqbora 4: Simiyu 3: Shinyanga 2: Kigoma 1: Rukwa Maoni yangu 1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili. 2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MAPINDUZI YA KIDIJITI: Kilimanjaro Yawa Miongoni mwa Mikoa Inayotoa Huduma za Ardhi Kupitia e-Ardhi

    MOSHI, KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za sekta ya ardhi nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta hiyo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Mikoa itangaze maeno hatarishi kuelekea El Nino, yaandaliwe maeneo salama

    Septemba 6, 2026 Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita alizungumza na Wanahabari, pamoja mambo mengine alizungumzia suala la El Nino na jinsi Serikali inavyoshindwa kujiandaa kukabiliana nayo. ACT Wazalendo hatutaki maneno bila vitendo, kwa kuwa mvua hizi zinaweza kusababisha...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Hapo awali kulikuwepo na dhana potofu na kasumba kwamba Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya,Iringa,Njombe,Songwe,Ruvuma na Rukwa) kwamba ndio wazalishaji wakuu wa mahindi nao wakajisahau wakidhani wanategemewa saaana na Nchi kwamba Mikoa mingine ni walaji tuu. Sasa hivi hii kasumba...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  16. M

    JamiiForums Tanzania UTPC yaua klabu za waandishi wa habari za mikoa?

    Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda mrefu kwa umoja huo umechangia klabu hizo kudhoofika na kupoteza uwezo wa kujiendesha zenyewe...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aapisha Wakuu wa Mikoa wapya Ikulu Ndogo Zanzibar

    Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu,Zanzibar Leo Tarehe 02 Septemba,2026
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa hatujawapeleka huko kuwa wafalme bali kuwa watumishi wa wananchi - Rais Samia

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao. Rais Samia amesema hayo...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara korofi Nchini: Taja Zako! Naona Mwanza, Simiyu Manyara na Kilimanjaro panaongoza

    Salama wanajamvii. Sasa leo tutaje barabara zenye kero Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa. Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza...
Back
Top Bottom