hospitali

 1. Kheri Hansen

  Nifahamisheni dawa ya Tumbo, nimetuliza kwa Konyagi wiki nzima, ila Konyagi ikiisha tu linaanza upya.

  Wakuu, Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa maana ishasalimu amri kwa Bapa ndogo ya Konyagi, huu mwaka wa pili sijui hata ilienda wapi wakati Mbu...
 2. Kheri Hansen

  Kamati ya manunuzi ya MUHAS imesimamishwa kimya kimya. What’s wrong?

  Asubuhi nimeingia kazini, naona Wahasibu wako busy kujiandaa kwenda MUHAS na manyaraka maana tunawadai almost 70m. Nilipouliza mbona leo mnaandamana wengi wengi? Nikaambiwa kamati ya manunuzi imetimuliwa, kwahyo wanaenda kujua mustakabali wa deni la Kampuni. Mwenye taarifa zaidi atuletee.
 3. K

  Kwanini shahawa haitoki?

  Rafiki yangu alifanyiwa upasuaji baada ya lazer kushindwa kukamilisha kazi yake,shida ilikuwa ni mikojo haitaki kutoka kabisa,[blocked urine]kwa karibu siku tatu mfululizo,umri wake ni 58,ana mke na watoto,ikabidi kwa haraka afanyiwe upasuaji,anashukuru upasuaji na matibabu yote kwa ujumla...
 4. O-man

  Huduma za Matibabu Hospitalini

  Nimepata tetesi kwamba Hospitali ya Temeke kuna kijipu uchungu kinahitaji tiba ya haraka kabla hakijageuka kuwa tambazi. Ipo wadi moja (Wadi namba 4) ambayo mgonjwa wako akilazwa humo basi anza kufanya mipango ya mazishi. Nikahoji, kulikoni na kuambiwa kwamba mgonjwa akiingizwa humo hapati aina...