posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
 1. M

  Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

  Nimekuwa naangalia jengo la iliyokuwa Embassy Hotel kwa muda mrefu sana sasa imefungwa na hakuna hata dalili yoyote ya kufufuliwa au kutumika kwa shughuli nyingine ya kibiashara. Jengo lipo mahali pazuri sana lakini linasikitisha sana linavyochakaa na sina hakika kama linalipiwa kodo stahili...
 2. J

  Dkt. Chaula azungumzia uwajibikaji wa pamoja Posta

  DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
 3. J

  Posta yataka vyama vya wafanyakazi kuhimiza wafanyakazi kutimiza wajibu wao

  Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza wajibu wao katika utekelezaji wa malengo ya Shirika. Wito huo umetolewa tarehe 17 Julai, 2021 alipokuwa...
 4. safuher

  Wenzetu wanafanikiwa kwa sababu wanawaza "endapo kitatokea"sisi tunafeli kwa kuwaza "hakitatokea"

  Waswahili ama waafrika tuna ujinga wa kuwaza "hakuna kitakachotokea" ndio maana mambo mengi tunafeli. Wakati wenzetu walioendelea wanawaza kwamba "kitatokea kitu". Mswahili haoni shida kuendesha gari hajafunga mkanda hawazi kabisa kwamba endapo ikitokea ajali bila kufunga mkanda naweza...
 5. J

  Dkt. Zainab Chaula: Tumieni Shirika la Posta kutoa huduma zenu

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
 6. J

  Posta yajidhatiti kuimarisha huduma zake jijini Dodoma

  POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA. Na mwandishi wetu- Dodoma Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, kwenye Ofisi za Mkuu huyo wa Mkoa, Jijini Dodoma. Kikao hicho...
 7. luangalila

  Naweza kwenda Posta kuulizia mzigo wangu kutoka Aliexpress

  Wadau habarini za mchana. Nilinunua bidhaa kule Aliexpress tangu December mwaka jana, mpaka leo sijapokea ujumbe toka posta juu bidhaa yangu kufika Bongo, ila yule muuzaji anadai percel imeshafika DSM muda mrefu tu. Je inawezekana kwenda pale posta kuuliza endapo kama kuna kifurushi kimetumwa...
 8. J

  Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

  Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
Top Bottom