Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,041
144,412
Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe.

Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
 
CAFCL sio NBCPL, usihangaike kusubiri majibu ya uongo, ingia kwa website ya CAF utapata majibu yako huko.
 
Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe.

Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
Caf wanasheria kua kuna timu ktk ranks zinaingiza timu 2 klabu bingwa na shirikisho. Kwa hapa tz hii imekuja baada ya simba kukusanya point nying ktk michuano hii, pia wakaunganisha point za namungo na yanga. Ndo mna tumepata nafasi ya kuingiza timu 4 tng mwaka juz km sikosei.
 
Hilo nafahamu, ila kwa miaka ya nyuma, hizi kanuni zilikuwepo?
 
Mbona hadi leo kuna mabigwa wengi tu hawashiriki wew nazani unachanganya kati ya kuwa Bigwa na kuqualifier unaweza Kuwa Bigwa na Bado ukashindwa ku qualifier
 
Back
Top Bottom