Habari wana jf
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya
Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali
Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
JMT; Kazi iendelee.
Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana.
Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
Habari za majukumu wakuu
Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
Habari wadau,
Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase.
Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha.
Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha.
Ni kufikia hali ya...
Twende kwenye mada direct!
Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu.
Hili duka la samaki bei ni ya kawaida tu kama maduka mengine. Samaki wake na maduka mengine wapo pia. Cha ajabu anapanga foleni ya wateja...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
Unakutana na mtu anataka kununua gari ya kufanyia biashara ya Tax mtandao (uber,bolt,indrive n.k)
Je utamshauri nini?
Je gari gan itafaa kwa sababu zipi?
Tusome comment ,
Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana.
Katika simu yako...
Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi.
Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa Rais Samia Suluhu anahakikisa anawakwamua vijana na wanawake kiuchumi.
1. Mikopo/mitaji ya biashara...
1. Dar es Salaam
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara?
Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha.
Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda...
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.
Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
Wanabodi salama?
Nafikiria kuingia kwenye biashara ya tiles (ceramic na porcelain) importing kutoka nje ya nchi.
Nna uelewa kidogo wa hizi products kupitia kwa mafundi wa tiles na kudeal na suppliers pale kariakoo.
Naweza kuanzisha hapa hapa Dar au Dodoma.
Ingawa wauzaji wapo wengi ila...
Wakuu mambo vipi?
Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu.
Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube.
Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I...
Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA.
Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
Habarini,
Naanza. Bila Shaka huwa unaona au kusikia kwamba soka au mpira wa miguu yaani "Football" ni biashara kubwa sana tangu miaka mingi. Unapona vilabu vikubwa kama Manchester United, FC Barcelona au PSG vinatumia pesa nyingi sana katika uwekezaji ndani na nje ya uwanja ujue pia vilabu na...
Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8
Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
Habari za wakati huu,
Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.