ulinzi na usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

    Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

    Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi. Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche anasema chukieni vyombo vya ulinzi? Mwambieni aliyechanganyikiwa aondoe ujinga huo!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwapa moyo askari wanaolinda usalama wa taifa. Kihongosi amesema askari huendelea kufanya...
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika. Hiyo convoy...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  6. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama wa uhakika

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  7. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinasubiri nini Kushughulika na Huyu Adui wa Tanganyika?

    Tumeshuhudia maelfu ya Watanganyika wakimiminiwa risasi na kuuawa, miili yao haijulikani ilipo. Vijana wasio na silaha kama Humphrey Polepole ametekwa na haijulikani yu wapi. Watu kuzuiliwa kutoa maoni yao kwaajili ya kuisaidia nchi yao. Wimbi la kesi za kipumbavu zinazopelekea serikali...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mtafikiwa tu mwenzako akinyolewa zako tia maji

    Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za malayman
  10. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama nchini Tunzania

    Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana. Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu. Huu ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapunda ataka uchunguzi wa showroom za magari kubaini iwapo zinatumika kutakatisha fedha zinazotokana na biashara ya dawa za kulevya

    MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika baadhi ya showroom za magari zilizopo wilayani humo ili kubaini iwapo zinatumika kutakatisha fedha zinazotokana na biashara ya dawa za kulevya. Akizungumza katika Viwanja vya Mwembe Yanga...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama yatembelea hospitali kuu ya JWTZ Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), tarehe 23 Juni 2026, ilifanya ziara katika Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Msalato, jijini Dodoma, kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yametupa funzo. Vyombo vya Ulinzi na Usalama majaribio yale waliweza kuyaondoa kwa muda mfupi sana

    Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa yoyote ya kiashiria cha hatari inayopaswa kudharauliwa, bali inatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa taasisi za ulinzi na usalama Wajiuzulu ili Tume jinai iwe huru

    Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki. Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari. Ndio...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia arejea Salama nchini na kupokelewa Kijeshi na Viongozi Mbalimbali Wa Vyombo vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amerejea salama salimini Kabisa Nchini Mwetu. Ambapo Rais wetu Mpendwa Na Moyo wa Taifa Amepokelewa kijeshi na viongozi Mbalimbali wa Vyombo vya ulinzi na usalama...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM yavipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri Oktoba 29

    Naona CCM kwa CCM wanajipongeza :) Ila wanachekesha sana! Ila ipo siku yenu tu ============= Leo, Alhamisi tarehe 07.05.2026, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (HKT) imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Rais wa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imeshajitambua haikubaliki kwa wananchi ndio maana imeamua kukumbatia vyombo vya ulinzi na usalama ili ikae madarakani kwa mabavu

    Hakuna uchaguzi halali uliofanyika ile Oktoba 29 mwaka jana. Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia rais wa taifa letu akiapishwa na Wanajeshi kwenye viwanja vya jeshi. Wananchi mpaka sasa wameichukia CCM na hawaitaki kabisa. Inachokifanya ni kukumbatia vyombo vya ulinzi na usalama ili ikae...
Back
Top Bottom