namba

 1. N

  Tyre aina ya linglong 185/70/14. Kuna namba imeandikwa 1221 muuzaji ananiambia ni ya mwaka huu je ni kweli?

  Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli? Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye Tyre.
 2. M

  Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

  Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake. Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho. Naomba...
 3. Kajiru Kanyika

  Utumishi, hiyo format ya kuandika namba ya Kidato cha nne na Sita ni ipi?

  Msaada hio formatt ya kuandika namba ya kidato Cha nne na sita ni ipi kwa anayejua kupitia Utumishi, nimeandika kawaida (SXX/XXX) imegoma, wanasema ni (SXX - XXX) nimeweka hiyo - imegoma
 4. Magari Nusubei

  Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

  Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
 5. Solomon Mdogo

  Car4Sale Toyota Corsa namba B kwa bei ya Kanisa

  Hii gari iko Dar Chanika. Iko vizuri tu haina shida yoyote AC inayo Haijabadilishwa rangi Kadi ya gari ipo Bei 4.7mil
 6. William Mshumbusi

  JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

  Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania. Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
 7. Sandali Ali

  Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

  Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani. Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao. Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli...
 8. MURUSI

  LUKU vipi tena? Hukokwenu inapatikana?

  LUKU naona kama imerudi kama juzi, najaribu kununua inakataa, au ni kwangu pekee? Vipi nyie huko?
 9. J

  Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

  Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
 10. Solomon Mdogo

  INAUZWA IST namba D kwa 7.5 Mil

  Hello, Hii hapa Gari aina ya IST. Ina AC Automatic gear Full Document Haina kipengele cha aina yoyote Inapatikana Dar es salaam. Biashara piga simu: 0744033555
 11. Bujibuji

  Maajabu ya orodha ya tisa kwenye maisha ya mwanadamu

  MAAJABU YA TEBO YA TISA KWENYE MAISHA YA MWANADAMU 9×1=9 miez ya kuishi tumboni 9×2=18 umri wa kutambulika mtu mzima kwa baadhi ya nchi 9×3=27 miaka ya ukomavu na binadam kijana anaweza anza kunitegemea kila kitu makazi,malazi na mengneyo 9×4=36 miaka ya kuweza muda kulea( kuanzisha au...
 12. C

  Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

  CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
 13. G

  USHAURI: Gia namba nne kukosa nguvu na brake kutokumata mpaka upump zaidi za mara moja

  Wakuu wangu wa JF heshima mbele, nina Jambo nilikuwa naomba kuuliza kwa ushauri wa kitaalamu nikiamini jukwaa hili ni la manufaa na limesaidia watanzanzia wengi. Baada ya salamu naomba kuelezea tatizo langu, Nina gari ya Town Ace manual pick up, mpaka asubuhi ilikuwa vizuri tu bila shida, Ila...
 14. Mung Chris

  Kama huwezi kuona namba iliyoandikwa hapa basi unaumwa ugonjwa husika

  Soma namba vizuri hapa, kama huwezi kusoma namba moja wapo basi unaumwa ugonjwa ulioandikwa chini ya namba hiyo.
 15. R

  Anayejua namba za simu za Veta Shinyanga

  Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye namba za mawasiliano na chuo cha Veta Shinyanga. Asante sana.
 16. herman joshua

  Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

  Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde? Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake. Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
 17. D

  Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

  Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
 18. sinza pazuri

  Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

  Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa. Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo. Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million...
 19. polokwane

  Hii ya kubadilisha KM za gari hivi ni kweli ipo? Kuna gari namba BAC ina KM 38900 TOYOTA KLUGER jamaa anaiuza

  Nimepata mashaka makubwa sana baada ya kutizama hizo kilometre na usajili wa gari yaani gari imesajiliwa muda mrefu lakin imetembea km chache sana nika muuliza kulikoni gari inausajili wa BAC wa muda mrefu lakini gari imetembea km chache kiasi hiki? Akanijibu tangu imenunuliwa ilikuwa haitumiki...
 20. M

  Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

  Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona Naomba nije kwenye topic kuu sasa. Nimekuwa nikitamani sana kumiliki gari lililo juu juu (wenyewe wanaita SUV), kutokana na mazingira niliyopo, gari la chini linaumia sana...
Top Bottom