mgao

Swahili, also known by its native name Kiswahili, is a Bantu language and the native language of the Swahili people. It is one of two official languages (the other being English) of the East African Community (EAC) countries, namely Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. It is a lingua franca of other areas in the African Great Lakes region and East and Southern Africa, including some parts of the Democratic Republic of the Congo (DRC), Malawi, Mozambique, Somalia, and Zambia. Swahili is also one of the working languages of the African Union and of the Southern African Development Community. The exact number of Swahili speakers, be they native or second-language speakers, is estimated to be between 50 million to 150 million.Sixteen to twenty percent of Swahili vocabulary are Arabic loanwords, including the word swahili, from Arabic sawāḥilī (سَوَاحِلي, a plural adjectival form of an Arabic word meaning 'of the coast'). The Arabic loanwords date from the contacts of Arabian traders with the Bantu inhabitants of the east coast of Africa over many centuries, which was also when Swahili emerged as a lingua franca.In 2018, South Africa legalized the teaching of Swahili in schools as an optional subject to begin in 2020. Botswana followed in 2020, and Namibia plans to introduce the language as well. Shikomor (or Comorian), an official language in Comoros and also spoken in Mayotte (Shimaore), is closely related to Swahili and is sometimes considered a dialect of Swahili, although other authorities consider it a distinct language.

View More On Wikipedia.org
 1. Sigara Kali

  Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

  Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
 2. B

  Mgao mkali wa umeme waweza kutokea nchini. Serikali imejipanga?

  'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu. Nishati ya umeme ni nishati...
 3. Analogia Malenga

  Ujerumani kuanza mgao wa mafuta

  Ujerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia. Hatua hiyo imechukuliwa wakati kuna hali ya kutoelewana kuhusu malipo kwa kutumia sarafu ya Russia. Hatua ya umoja wa ulaya kuanza kutekeleza onyo la mapema la...
 4. Nyankurungu2020

  Ni aibu taifa letu kuwa na Waziri wa Nishati anayesisitiza mgao wa umeme bila kutuhakikishia JNHP itaanza uzalishaji lini

  Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo . Kama njia za kusafirisha umeme...
 5. N

  Mbona Mwanza Mgao wa umeme unaendelea?

  Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
 6. TANESCO

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
 7. Mr. Wise

  Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

  Habari za majukumu! Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini? Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
 8. Makonyeza

  Katika hili mke alistahili kupata mgao?

  Mimi huwa naiona sheria kama lidudu fulani baya hivi, ukiliendekeza lazima likuume. Huwa haliwaachi watu salama, lazima limpendelee mmoja kati ya wawili wanaoshindana kwa kisingizio cha haki, na huwaacha hawaelewani, yaani huwachonganisha. Na kumbe kama ingetumika Suluhu kila mmoja angepata...
 9. Idugunde

  Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

  Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
 10. Nyendo

  TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

  TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
 11. S

  Maharage Chande Mgao wa umeme mbona umeanza mapema?

  Mgao wa umeme upo tokea Makamba awe waziri! Ila nauliza kwa sisi watu wa Temeke jana tokea asubuhi umeme haukuwepo maeneo mengi ya Temeke wakarudishwa jioni baada ya saa kama moja wakakata tena! Sasa nauliza huu mgao rasmi uliotangazwa na MAHARAGE ndio huu umeshaanza sasa au utakaoanza...
 12. Nyani Ngabu

  Mgao ujao wa umeme…

  Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari. Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui… Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi. Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na...
 13. IslamTZ

  Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

  Abuu Kauthar Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
 14. Nyankurungu2020

  Waliotaka kutupiga kwa mgongo wa mgao wa umeme wameona aibu?

  Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji. Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati...
 15. IslamTZ

  Makamba, unatumia muda mwingi kujibrand kuliko kupambana na mgao umeme

  Abuu Kauthar Huku ninapoishi, Mburahati Barafu, katika wiki moja, umeme ulikatika siku sita kwa saa kuanzia sita hadi 14. Katika baadhi ya siku, umeme ulikatika mara kadhaa. Kukatika huko kwa umeme sio tu ni kero kubwa, lakini pia kumeongeza umaskini wa wananchi wanaotegemea nishati hiyo...
 16. K

  OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

  Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
 17. sky soldier

  Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

  Diamond sio mmiliki mkuu wa makampuni kama wasafi tv, wasafi radio, wasafi bet, Diamond karanga (r.i.p), yeye nafasi yake huwa ni co-owner, anachofanya ni kuwekeza tu jina lake na kuchukua asilimia zake kwenye faida. Uhakika wa 40%-49% ya umiliki na faida upo chini yake kwa kutoa tu jina wasafi...
 18. MGOGOHALISI

  CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

  Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
 19. MGOGOHALISI

  Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

  Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani. Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga...
 20. sinza pazuri

  Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

  Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
Top Bottom