Kwanza wameonyesha UNYENYEKEVU kama WATUMISHI wa Mungu Kwa watawala kuwatafuta Ili kuwaambia ukweli
Tangu zamani kazi ya makuhuni na MANABII ilikuwa ni kuonya watawala walipokuwa wanakosea njia
Baada ya kuonya kazi Yao inaishia pale wanasubiri maamuzi ya watawala.
Baada ya hapo wanaotegemea...
DPP kuwa serious japo kidogo
Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia
Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia).
1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya)
2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia.
3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza...
Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti.
watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya hapo husafiri kwa magari au kukodi ndege ndogo hadi mbugani.
Lakini wameona haitoshi. Wanajenga...
Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita.
Anaitwa Dr. Henry Rimisho.
Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki.
Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za...
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!
Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
Yule Shekh Mkata vichwa alikosea kuongea vile , Ila ndo aliua huo mchezo wa UDINI .
Ile watu walipoanza kuudhuria kanisani na makanzu tatizo likawa solved.
Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?
Je, nani anawatuma na kwanini? Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho ? Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa?
Kwanini serikali...
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni .
Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii.
Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika.
Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja.
Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa?
Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi...
Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa
Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa.
Karibu Tanzania.
Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh.
Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani
Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.