bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Human Nature

    Hello Great thinkers 🫡 Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?) Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu Mfano: Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabata Barakuda maji yanasumbua, inaweza kupita wiki 2 hadi 3 bila kutoka

    Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha tumepitisha miezi miwili bila kulipwa mshahara

    Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba tumefungwa 1 bila na Polokwane huko. Tusiwadanganye tumedrw Watanzania

    Maumivu yaanaendelea Baada ya stars kula 5 bila Morocco.. wanaume wwma msimbazi Tumepigwa kamoja huko bila kanaumaa lakini ndiohivyo
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uzazi Bila Maumivu: Daktari Bingwa Aeleza Epidural

    Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Mtandao wa Jamiiforum sasa upo hewani bila VPN, baada ya kula Ban kwa miezi kadhaa
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu. Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

    Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki. Nilikuw mmoja wa watu hawo . Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi . Niko kazini, boss akaniletea spika ya Bluetooth,ndo upuuzi ukazidi. Siku moja nikaona siyo fani,nikafuta mizik yote,nikawa...
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger. Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto. Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai. Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
  16. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania BILA CHUKI BILA KUCHOKA

    Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi. Ahsante kwa waliotuacha walipopata watu waliowaona bora kuliko sisi. Walitufundisha kuwa hata kivuli hupotea mwanga unapotoweka. Na...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore. Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
  18. Milvik Tanzania

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa Faragha: Usishiriki Bila Ruhusa

    Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba umeona ‘ameposti’ WhatsApp haimaanishi amekuruhusu kuwaonesha na wengine bila ruhusa yake. Mtu...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

    TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya? https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
Back
Top Bottom