faini

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Faini za kubambikiziwa zinatuumiza barabarani, mimi nipo Bukoba gari langu halijawahi kuwa Dar alafu lina faini ya 120,000/= inaonekana imepigwa Dar

    Mimi niko Bukoba, gari langu pia lipo Bukoba, traffic ananisimamisha anasema gari lina faini 120,000 ilipigwa Dar es salaam, Dereva aliyeandikwa simjui na gari tarehe husika lilikuwa Bukoba, naomba jinsi ya kutatua shida hii maana traffic hawaoneshi ushirikiano kabisa ,
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya usafi Dar es Salaam: Chalamila na Mpogolo Watoa Maonyo Makali, Faini na Jela Kuwangoja Wachafuzi

    Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Responded DC Mpogolo: Atakaye tupa taka Ganda la Ndizi na Pipi faini Milioni 1, Dar

    MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukichelewa kulipa Service Levy Gongolamboto, Maafisa Biashara wanakubambika faini ya kukukomesha na kukupeleka Polisi

    Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo. Baada ya...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

    Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi apigwa faini

    Lionel Messi wa Inter Miami amepigwa faini kwa kumpiga kofi Quinn Sullivan mchezaji wa klabu ya Philadelphia Union wakati wa mchezo ulioisha kwa sare ya 2-2 katika Mechi ya Ligi Kuu ya Soka (MLS) Jumatano mnamo Agosti 19. Messi mwenye umri wa miaka 39, alimpiga Sullivan kofi kichwani kuelekea...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwamba muda kadhaa jela au faini kiasi fulani?

    Kwamba ushahidi na utetezi inaonesha si kosa moja kwa moja Iła viashiria vya kosa hilo, Hivyo waamuzi wanasema muda jela au lipa kiasi fulan Hii umaanisha nini? Britanicca
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    ITOLEWE AMRI, UCHAFU KUKUTWA KWENYE ENEO LAKO, FAINI ELFU 50. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii nchi unaweza ukadhani haina viongozi. Unaweza ukadhani haina Wasomi. Unaweza ukadhani haina Watu wazima. Unaweza ukadhani haina wanawake wanaosifika kwa usafi. Kuna mambo ukiyafikiria yanaweza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umefanyika ukamataji ovyo wa watu katika mji mdogo wa Ilula, Kilolo na sasa wanatakiwa kulipa TZS 50,000 kila mtu ili kuachiwa

    Ndugu Wadau, Mnamo tarehe 18 Julai 2026, kati ya saa 2 usiku hadi saa 7 usiku, katika Mji Mdogo wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, kulifanyika operesheni ya kukamata wananchi iliyosababisha taharuki kubwa kwa wakazi. Kilichotokea: Zaidi ya watu 100 walikamatwa bila taarifa rasmi. Wengi walikamatwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari yangu inadaiwa faini ya Polisi, inaonesha ilitozwa Mlandizi wakati sijawahi kufika huko

    Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki. Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Mgambo wa Jiji walikamata Spika zetu, wakasema tunalipe Faini Sh 200,000 kisha tulipe Sh 50,000 kila siku kama tunataka kuzitumia

    Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara. Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mgambo wanaotoza bodaboda na Bajaj faini ya Tsh. 50,000 kila siku wanatutengenezea chuki Wananchi

    Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10. Mimi ilinitokea nilikuwa nafunga mzigo pembezoni ya barabara yaani kwenye reserve parking ya jengo...
  15. E

    JamiiForums Tanzania GCLA: Dereva anayesafirisha kemikali bila kupewa mafunzo faini Tsh500,000

    Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka madereva hao kupata mafunzo ili kuepuka madhara kwao na kwa watu wengine. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa GCLA, Daniel Ndiyo leo Julai 3, akisema dereva anayesafirisha kemikali bila kupata mafunzo anafanya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanachana 4 wa Chadema wahukumiwa kifungo miezi 4 au kulipa faini ya 300,000

    TAARIFA KWA UMMA.‼️ 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja. Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Arusha, Dereva Daladala wailalamikia LATRA, wadai haiwatendei haki

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Askari wanatuambia tupite njia ya Mwendokasi Kimara, tukifika Kona wanatukamata na kutoza faini Sh 30,000

    Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then ukifika Kona wanakamata magari yote. Wakiaambiwa kuwa “tumeruhusiwa huko nyuma kupita” wanasema...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO IRUWASA wanakata maji hata kama unadaiwa buku 1 ili ulipie Sh 15,000 ya faini

    Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15. Wanafanya hivyo ili mamlaka ya maji iweze kuongeza makusanyo, hatujawasiliana na yeyote hakuna ushirikiliano na wananchi hatuna...
Back
Top Bottom