kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

    Kwema Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti ...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Weka hapa vitu ambavyo huwa unajiamini utaweza kuvitunza kichwani lakini unavisahau haraka

    Naanza mimi, Misemo / quotes - nimeona au kusikia maneno ya hekima au sentensi nzuri, najiambia "nitaitumia baadaye", lakini naisahau kabla sijapata nafasi. Namba ngeni za simu, huwa nasema nitasevu baadae ila muda unapita nakumuka sikuisevu hasa nikiwa nataka kumtafuta napoingia youtube...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Lameki Madilu ni mzima kichwani anapodai utegemezi wa taifa umepitwa na wakati?

    Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika. Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu. Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

    Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba. Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

    Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣 Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika.. Aibu sana umewatia Wazanzibar...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  7. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

    Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai, Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

    Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi. Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu. Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
  9. Vien

    JamiiForums Tanzania Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Ayatollah wamemla kichwa, basi hao Wairan kichwani hamna kitu kabisa!

    Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai. Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12. Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo? Nchi kubwa namna hiyo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha 😂 😂 😂 😂 Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
  14. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  16. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani. Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Zito ni mzima kweli kichwani?

    Eti ACT ndiyo pekee Inaweza kuleta maandamano. Huyu ni mzima kweli? Awaishwe Milembe
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Tunapiga kichwani tu

    Hiyo ndio slogan yetu wanayanga
Back
Top Bottom