mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters). Mwandishi au waandishi wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Mzee Warioba anaendeleaje?

    Tangu alipo pata mfadhaiko hakuna feedback hali yake ikoje. Aliye na ataarifa zake atujuze. Tunamuombea uponyaji.
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mzee mpili shabiki wa yanga kafariki dunia

    Hizi habari nimeziona USIKU huu
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

    Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu. Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

    TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya? https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
  6. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

    Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar. Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa. Twenzetu China 😎
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mzee wakubadili gia angani

    Ni zamu ya mzee wa project za kisiasa:)
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanadai eti aliishiwa nguvu, wakati hata ukimtazama tu alivyo ni kwamba hana nguvu kabisa, Ni vizuri Mzee akapumzika siasa sasa, inatosha.

    Tafadhali my friends, ladies and gentlemen, Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake nayo ikachukua hatua muafaka, imsaidie Mzee apate medical attention ya maana, apate utulivu na muda...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee apumzike sasa Heee!!!

  11. R

    JamiiForums Tanzania Mkimbize Mzee Warioba London achekiwe, thoroughly checkup ya afya yake. Achana na hospital za hapa watamfuata huko wahuni

    Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao. Mkimbizeni popote be it London, , USA...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tumwombee sana Mzee Warioba. Ndo Mzee pekee ambaye amebaki kwa Maslahi ya Umma.

    Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi. Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba amepata kadhia ya kukumbwa na upepo mbaya mkutanoni. Tumuombee.

    Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea. Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu. https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba aanguka Jukwaani!

    Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano. Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau. Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma. Tayari...
  15. uran

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Mzee Warioba?

    Mzee Warioba amedondoka gafla wakati anatoa hotuba yake TCD. Mungu amsaidie
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Dah bongo inachekesha sana https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr Bongo nyoso
  17. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa ardhi wa miaka 22 katika eneo la Mwananyamala "A" unamuumiza Mzee

    Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake. Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo, baba yangu ni mmiliki halali wa eneo hilo tangu mwaka 1984, lakini kuanzia 2004 amekuwa akipambana na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Gwiji la siasa mzee jakaya

    NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa. HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na upinzani. Hivi kabisa mbinu zake hizi kwa sasa kwanini hawazitumii?? Pia nikikumbuka alivyomjibu kagame...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema, "Mimi kama...", anamaanisha nini? Basi mzee mwenzenu yamenikuta 🤔

    Mimi kama... 🤔 Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli. Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 tangu kutekwa na kuuawa Mzee Ali Kibao, mpaka leo hakuna taarifa ya nani alihusika!

    Leo, Septemba 6, 2026, inatimiza miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tukio hilo bado hayajawekwa wazi. Pumzika kwa amani, Ali Kibao, tutakukumbuka daima. ===== September 6, 2026, marks two years since his death, but to this day, the results of the...
Back
Top Bottom