kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

    Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
  2. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania DP world kwenye mikataba yao upo pia ya kujenga misikiti mikubwa kwenye safari ya islamization of Tanganyika

    Makonda aache kusema anatafuta pesa za kujenga msikiti mkubwa Arusha awe mkweli aseme ametumwa na Rais ajenge msikiti mkubwa Arusha na mfadhili ni dp world waliozawadiwa bandari mikoa lengwa phase ya kwanza kujenga misikiti mikubwa ni Iringa nadhan apa umekamilika morogoro umekamilika...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana" "Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi. Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya...
  5. Ibun balo

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia. Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHC haivunji vighorofa vya kale vya Upanga (kuanzia Fire hadi Selander) ili kujenga majengo marefu ya kisasa?

    Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili, Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam. Kama umetumia Barabara ya Morogoro au maeneo ya Upanga, kuanzia makao makuu ya Zimamoto (Fire), kuelekea Upanga...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  10. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya 10% kwa Vikundi: Fursa ya Kujenga Uchumi

    Tunapoona vikundi vya wajasiriamali 33,594 vikifikiwa na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kupitia Serikali tunapaswa kutafakari kwa kina Je hii si ishara kwamba Serikali inaendelea kufungua milango ya wananchi kushiriki moja kwa moja katika uchumi wa nchi yao? Pongezi za dhati zimwendee...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa Tanzania kujenga small satellite launch pad

    Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20 Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo Itatumika kwenye scientific study kama weather...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  19. O

    JamiiForums Kenya Jamia Mosque yafungua milango kwa wasiokuwa Waislamu katika kampeni ya kujenga uelewano

    Zaidi ya watu 700, wengi wao wakiwa Wakenya wasiokuwa Waislamu, walitembelea Jamia Mosque Nairobi katika Open Day iliyolenga kuwapa wananchi nafasi ya kujifunza kuhusu Uislamu moja kwa moja kutoka kwa viongozi wa dini, badala ya kutegemea taarifa zinazoweza kupotosha kutoka mitandao ya kijamii...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Umasikini Wetu, Kamwe Tusikubali Kuwanyenyekea Matajiri Wanaotunyanyasha kwa Jeuri ya Pesa Zao!, Ili Kujenga Heshima, Tuwe Masikini Jeuri?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
Back
Top Bottom