magari

 1. W

  Biashara ya spare za Magari kutoka Japan na Dubai

  Nunua spare za Magari kutoka kwetu,tutembelee kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza nasi Ni Macha Dubai used car spare parts wasiliana nasi +255742662669
 2. Bujibuji

  Yajue magari makubwa zaidi duniani

  10. Caterpillar 794 C The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck Urefu: 50.72 feet Kimo: 26.30 feet Upana: 32 feet. Nguvu: 3,500bhp Ubebaji: 291 metric tons 794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September. Gari...
 3. Idugunde

  Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

  Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
 4. K

  Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

  Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais. Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
 5. Francis fares

  Passo inauzwa

  Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
 6. Parody

  Uganda: Serikali yatoa Tsh Bilioni 69.5 kununua magari ya wabunge wakati visa vya COVID-19 vikiongezeka

  Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
 7. pureView Zeiss

  Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

  Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability...
 8. K

  Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

  Sijui hata niseme vipi?!. Kwa lugha nyepesi tu naweza kusema wenzetu WAZUNGU wameumbwa tofauti kabisa na sisi (ngozi nyeusi) WAAFRIKA. Sitaki kutumia maneno yanayoweza kufanya nikufuru, lakini ninachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu aliwaumba wazungu kwa namna ya pekee sana. Kusema hivi...
 9. K

  Maiko Bande: Magari ya washawasha yabadilishwe kuwa magari ya fire.

  Nchi hii ni ya Amani, Magari ya washawasha ni mengi kuliko magari ya zimamoto. Akichangia katika kipindi cha malumbano ya hoja mchangiaji huyu amesema inashangaza kuwa na magari ya washawasha mengi nchini yasiyokuwa na matumizi.
 10. sky soldier

  Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

  Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
 11. Analogia Malenga

  Magari ya petroli kutouzwa Ulaya ifikiapo mwaka 2035

  Umoja wa Ulaya leo umependekeza marufuku ya uuzaji wa magari yanayotumia petroli na dizeli itakapofikia mwaka 2035. Pendekezo hili ni sehemu ya pendekezo kubwa la kimazingira litakaloharakisha kugeukia matumizi ya magari yanayotumia umeme ambayo hayatoi gesi ya aina yoyote. Halmashauri Kuu ya...
 12. Yudatade Edesi Shayo

  Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

  Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport? Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha! Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo...
 13. KIMOMWEMOTORS

  Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

  Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
 14. FRANCIS DA DON

  Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

  Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana. Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
 15. N

  Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

  Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
 16. Buda95

  INAUZWA Sabufa ya gari na bajaji inapatikana kwa bei nafuu

  Subwoofer yenye Amplifier ndani -Watts 1000 Mdundo Kama Wote[emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana kwa Jumla na Rejareja Bei 90,000/= Tupo Kariakoo-Dar es Salaam WhatsApp & Calls 0714122948 Delivery Ipo Mikoani Tunatuma Pia
 17. W

  Uhitaji wa spare za Magari madogo aina zote,Mzigo wa shock-ups na compressor umeingia

  Wadau naomba support zenu mzigo wangu wa Spare parts za Magari Madogo kutoka Dubai-Sharjah umeingia.Nina shockups,compressor,ABS,Autonator,Hubs,aair cleaners,plastic horns,2AZ coil plugs,Meter Reader,Show zambele,sterling Rack,na vingine vingi. Biashara yangu nimpya.Kwasupport yako tembelea...
 18. Tembomtata

  Utunzaji wa Magari ya Serikali

  Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari. Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
 19. W

  Wale Wenye Garage na Mafundi wa Magari Nunua hii Diagnosis Machine Kwabei yako kurahisisha kazi yakujua tatizo ya gari

  Mashine yakusoma matatizo ya gari kwaurahisi nakujua tatizo liko wapi hii hapa imebaki moja.Toa dau lako uwe nifundi au uliewekeza gereji itakusaidia sana. ni MAXCHECK808 diagnosis.Nipgie,tuma meseji au Whatsup +255742662669
 20. Sam Gidori

  Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

  Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
Top Bottom