tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kashfa zinaendelea, itakuwa ngumu sana kiongozi mchaga kukubalika. Tamaa za viongozi wachache wa kichaga zinaharibu taswira ya kabila lote

    itafikia kipindi itakuwa ngumu sana hata viongozi wanaotokea uchagani wenye uzalendo na msimamo kupata wakati mgumu kukubalika. Kila unakoenda unakutana na comment juu ya wachaga kufika bei kila kitu mpaka kwenye vitu vinavyohitaji msimamo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna familia yenye tamaa ya mali na uroho wa madaraka kama ya Kikwete.

    Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi. Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama. Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tamaa

    Kama kawaida kwenye jukwaa langu pendwa, habari na hoja mchanganyiko. Leo nimeshangaa sana, nipo kwenye sherehe hapa, ilipofika mda wa kutunza nilipanda pale jukwaani na elfu moja Moja nimechench zipo 100 jumla laki 1, nimepanda jukwaani pale wakat mziki unalia nikazimwaga kwa kuzisukuma Moja...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maumivu yanaweza kubadilika kua nguvu, fedheha inaweza kua motisha na kukataliwa kunaweza kua mwanzo wa safari mpya kubwa kuliko unavyofikiria

    Usimdharau mtu anae nyamaza kimya baada ya kudhalilishwa, usifikiri kimya chake ni udhaifu, huenda kimya hicho kinaandaa ushindi wake. My friends, ladies and gentleman, kukata tamaa ni dhambi. Ni muhimu sana kuzibadili changamoto unazopitia maishani ili kua fursa ya kujisahihisha...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wema na Haki inahitaji Subira. Mikazo na kutokukata tamaa

    Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu. Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
  9. prida

    JamiiForums Tanzania Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

    Maulid Mubaraq good people.
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simu refurbished si tatizo! Tatizo ni uhuni wa wafanyabiashara kununua zenye spea feki kwa bei rahisi na kuziuza bei kubwa kama zenye spea original

    Refurbished si tatizo. Tatizo ni greed, deception na kumuuzia mteja kitu tofauti na kile anachoamini amenunua. Na ndio maana sikuhizi mitandaoni utaona videos nyingi zinatrend wateja wakipeleka polisi kwenye maduka ya simu au mawinga wakizozazana na wenye maduka kuhusu simu zilizorudishwa na...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

    Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa nyuma Usimkatie tamaa Mtoto/kijana wako?

    Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  16. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Stori ya leo: Usikate tamaa

    STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo ndogo na kuboresha uwezo wake. Baada ya muda, alipata nafasi ambayo ilibadilisha maisha yake...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

    gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo, Botswana: 8,490 usd Namibia: 5,570 usd richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana...
  18. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, hili nalo litapita

    Mambo vipi? Leo nikukumbushe jambo moja muhimu. Huenda kwa sasa unapitia kipindi kinachokuletea hofu. Labda ni masomo, changamoto za kifedha, biashara, kazi, uhusiano uliovunjika, au ndoto ambazo unaona kama hazitatimia. Pengine mawazo hayo yanakunyima usingizi na kukufanya uamini kwamba...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sijui ni kwa nini watu wanakuwa na tamaa thamani ikishakuwa kubwa ndio wana nunua kwa bei kubwa wakati mwanzoni walikataa.

    Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani. Leo waliokataa kununua ndio wananunua kwa bei kubwa zaidi.
  20. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
Back
Top Bottom