hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa TV Series: Unaambiwa hizi ndio Best TV Series hadi sasa kwa Karne ya 21

    According to NY Times, nadhani wengi mtasupport. .
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja. 1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata router ndogo ya 5G inayoingiza laini zote, hizi router tunazopewa ni kubwa kama matunguli 😀

    Tulishazoea hapo zamani unabebakarouter kako kirahisi Lakini hizi router za 5 G kubwa kama matunguli 😀 Ni wapi naweza kupata router portable
  6. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi tafiti nyingine mmh..❗

    Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo https://bbc.in/4iMWAQn
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Pixel za Mtumba: Jua Siri Hizi Kabla Hujanunua

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wachagga:Agenda za kikao cha ukoo 2026 hizi hapa!

    Siku 80 tu zimebaki kabla ya wachagga kwenda kuhesabiwa huko kilimanjaro . Tabia ya wachagga kurudi kwao kwa gharama yeyote imekuwa kivutio na inasemekana kuna makampuni ya Utali yameanza kupata booking toka nje ili "wazungu waje kuona wachagga wakirudi kwao" kama wanavyokwenda Koga Tende...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hizi choppa leo si mchezo

    Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo yafuatayo: 1. Watu wengi watakuja kwa Jina lake wakisema wao ni Kristo. Katika nchi mbalimbali...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Ngoma kwenye minara huwa za kazi gani?

    Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hata ukwame kiasi gani usipige hizi number

    Hata kama umekwama kiasi gani kifedha au kihisia, hakikisha kuna namba za simu ambazo huzipigii kamwe ili kujiepusha na madhara makubwa zaidi. Dharura na shida ni mambo ya mpito, lakini maamuzi unayoyafanya ukiwa katika hali ya kukata tamaa yanaweza kukuandama na kukuharibia heshima na furaha...
  16. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI …. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo … Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni …. Kivipi ?…. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Zamani MWANAMKE akiwa hajitambui nilikuwa namuacha, siku hizi akiwa ajitambui na kuweka kwenye kundi la sex tu.

    Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tiktok live za siku hizi zina lengo gani?

    kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume. kamatana! shika box la...
Back
Top Bottom