mzalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Iringa acheni kunibugudhi mimi ni raia mzalendo

    Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano" Nadhani...
  2. Seth saint

    JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
  3. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa. Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja. Sio kwa...
  4. passioner255

    JamiiForums Tanzania JKT hamfanyi mtu awe mzalendo

    Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri. vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu. 'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa mzalendo?

    Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi? Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa. Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  9. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Tesha apewe Tunzo ya mwanajeshi bora na mzalendo 2025

    Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man. Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier since independence in 1961. KWA vyombo vya ulinzi na usalama sijawai sikia na kuona Tanzania mjeda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli licha ya mabaya yake lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake na Samia yeye ni

    Magufuli alikuwa Dikteta lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake, kama ilivyo kwa Putini, lakini Samia yeye si mzalendo hata kidogo bali ni ........wa rasilimali za Tanganyika. Na bado ameingia madarakani kimchongo si Rais halali na ameenda mbali zaidi akawauwa Watanganyika Wazalendo ambao...
  11. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia, umezungumza kama RAIS, AMIRI JESHI na MZALENDO

    Sisemi mengi; Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi. Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali iwapo umeingia kwa njia ya kura halali au haramu wewe ndio Mkuu wa nchi kwa sasa.Hata kama wewe ni...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi (CCM) apiga kura. Asema hakuna viashiria vya uvunjifu wa amani

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani. Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdada ajilipua, amwaambia Polisi wamepoteza uhalali kwa waTanzania

    Ujumbe umekaa kizalendo sana: Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa kwa jeshi la polisi ilikuwa ni kulinda Raia na mali zake na si kulinda mafisadi, wezi wala...
  14. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa mwana CCM na mpenda haki, mpiga ufisadi, na mzalendo wa kwelikweli kabisa kutoka moyoni ni kosa linalostahili kutekwa?

    Kuna mambo yanafurahisa sana wakuu.. Yaani kosa la yule jamaa ni kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa chama chake na taifa... serious kabisa kama taifa lenye vyombo vya dola, mahakama, serikali na watu wenye akili timamu kabisa kabisa tumeamua kuacha na kukaa kimya. Ni aibu sana kwa vyombo vyetu...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

    Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele. Kipindi cha...
  16. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzalendo

    Pengine moyo wangu waweza kuamka tena ili kuisaidia nchi yangu japo kwa kikombe cha maji. Loading.........
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  18. canular

    JamiiForums Tanzania TANZANIA inakutegemea wewe mzalendo wa kweli

    Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Back
Top Bottom