wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
 1. figganigga

  UTEUZI: Rais Samia amemteua Dadi Horace Kolimba, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu

  #UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan Amemteua Bw. Dadi Horace Kolimba, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu. Bw.Kolimba anachukua nafasi ya Bw. Abbas Juma Kayanda ambaye amehamishiwa Wilaya ya Moshi.
 2. B

  Uteuzi: Rais ateua wakuu wa wilaya

  teuzi
 3. escrow one

  Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

  Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
 4. J

  Chato ni Wilaya pekee nje ya Dar iliyotembelewa na Marais na Viongozi mashuhuri wa dunia, ni halali kuifanya mkoa sasa

  Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar. Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya. Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
 5. mgt software

  Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

  Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
 6. K

  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

  Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum) (2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) (3) Mh...
 7. Analogia Malenga

  Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

  Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
 8. J

  Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

  Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
 9. Stephano Mgendanyi

  Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

  MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
 10. Stephano Mgendanyi

  Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

  KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
 11. Frumence M Kyauke

  Diwani wa Wilaya ya Kisarawe Pwani alalamika uhaba wa kondomu

  Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuhakikisha bidhaa hizo zinafika kwa haraka.
 12. peno hasegawa

  Orodha ya makatibu wapya wa ccm wilaya mikoa ya kilimanjaro na kigoma

  Orodha hii hapa, kila siku ni Ijumaa .
 13. Mungu Mkuu

  UTEUZI : Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

  Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki, === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF...
 14. Jesusie

  Mwenyekiti wa CCM-Tanzania afunga rasmi mafunzo ya makatibu wa Wilaya na Mikoa Jijini Dodoma

  Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa, Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema...
 15. Mung Chris

  Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

  Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
 16. peno hasegawa

  Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

  Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
 17. W

  Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

  Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
 18. peno hasegawa

  Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

  Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
 19. Baraka sheni

  Vijana walio Dar wilaya ya Temeke tukutane

  Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi. Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri. Yawezekana kila mtu akawa na biashara yake au ya pamoja ila kama kila mwanakikundi atakuwa na biashara...
 20. Njaa kali30

  Afisa Elimu Wilaya ya Songwe ana tuhuma nyingi za matumizi mabaya ya ofisi

  Habari wadau nimeona kuna malalamiko mengi yanayomuhusu afisa elimu Chamwino. Kuhusiana na kuwakalipia waalimu wake kuwapa vitisho. Sasa kuna mwingine afisa elimu alieshindikana huku ambaye amekuwa akinyanyasa walimu wake yani ukikosana nae ujue maisha yako ya utumishi yatakuwa...
Top Bottom