KERO Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DodomaTZ

Member
May 20, 2022
71
107
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.

Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo haijaisha muda wake, tofauti na hapo hauwezi kuruhusiwa kufanya mtihani.

Mfano 22-02-2023, hadi umefika muda wa kuingia kwenye mtihani baadhi ya wanafunzi hatuna vitambulisho, tunalazimishwa ku-pex mitihani tufanye mitihani maalum yaani Special Examination mwezi Septemba.

Nimeshuhusia baadhi ya Wanafunzi Wanawake wakiangua kilio kwa kushindwa kupata kitambulisho na muda wa mtihani ukiwa unakaribia.

Unadhani hapo utaingia ukiwa na akili tulivu hata kama itatokea umekipata dakika za mwisho, baadhi yao walikuwa wameshaamua kusogeza mbele muda wa kufanya mtihani walipoona hadi 2 hours before mtihani hawajapata vitambulisho, wakaamua kuingia katika mfumo wa chuo na kubadili ratiba zao.

Ajabu wakati wakifanya hivyo wengine wakaambiwa wanaweza kutumia vitambulisho vya zamani kufanya mtihani, kwa ufupi ni mvurugano, hiki ni chuo kikubwa lakini kwa matendo kama haya inakuwa sio sawa.

Kingine ambacho tunajiuliza ni kuwa, je, tunaosogeza mbele muda wa kufanya mitihani hizo gharamia za nauli, chakula na nyinginrzo watazitoa wao? Huu ni uzembe wa uongozi wa chuo na tukifuatili hakuna sababu ya msingi wanazotoa, inaumiza sana.

Majibu ya UDOM- Madai ya UDOM kuchelewesha vitambulisho vya Wanafunzi, chuo chasema chanzo ni uzembe wa Wanafunzi
 
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.

Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo haijaisha muda wake, tofauti na hapo hauwezi kuruhusiwa kufanya mtihani.

Mfano 22-02-2023, hadi umefika muda wa kuingia kwenye mtihani baadhi ya wanafunzi hatuna vitambulisho, tunalazimishwa ku-pex mitihani tufanye mitihani maalum yaani Special Examination mwezi Septemba.

Nimeshuhusia baadhi ya Wanafunzi Wanawake wakiangua kilio kwa kushindwa kupata kitambulisho na muda wa mtihani ukiwa unakaribia.

Unadhani hapo utaingia ukiwa na akili tulivu hata kama itatokea umekipata dakika za mwisho, baadhi yao walikuwa wameshaamua kusogez mbele muda wa kufanya mtihani walipoona hadi 2 hours before mtihani hawajapata vitambulisho, wakaamua kuingia katika mfumo wa chuo na kubadili ratiba zao.

Ajabu wakati wakifanya hivyo wengine wakaambiwa wanaweza kutumia vitambulisho vya zamani kufanya mtihani, kwa ufupi ni mvurugano, hiki ni chuo kikubwa lakini kwa matendo kama haya inakuwa sio sawa.

Kingine ambacho tunajiuliza ni kuwa, je, tunaosogeza mbele muda wa kufanya mitihani hizo gharamia za nauli, chakula na nyinginrzo watazitoa wao? Huu ni uzembe wa uongozi wa chuo na tukifuatili hakuna sababu ya msingi wanazotoa, inaumiza sana.
Mitihani mnamaliza tarehe ngapi approximately
 
Aisee.
Hakuna hata special ID?
University lakini wanafanya mambo ya hovyo
 
Aisee hii ni kweli nilipigiwa simu na dogo langu limeshindwa vumilia linaangua kilio kakosa I'd .
Kufanya special exam ni kipengele ikabidi nianze Tena kutoa counsel Kumuweka sawa
 
Kabisa hapo ni jambo la uzembe tena mkubwa na inatakiwa ikitokea hvyo bas chuo kighramie hzo cost zsizo za msng kutokan na uzembe wao
 
Mtoa hoja umeamua kuja kulalama humu wakati unajua huwezi pata ufumbuzi wa hiyo issue, why hamfanyi push back kwa utawala, zuieni mhusika kutoka ofisini mpaka mwafaka ufikiwe, mkifanya hivyo within 10mins RPC, rc,na vice chancellor watapiga hodi hapo na kuwasikiliza,ffu watawatisha ila ni kujitoa mhanga, push back
 
Anarandaranda tu na tie yake
ID ya chuo ni usalama wa mwanafunzi. Chuo kikubwa kama hicho kukalia ID mpaka tarehe ya mitihani ni illogical. Huko wanafunzi wanakozuruara chuoni na nje ya chuo hawakaguliwi ID?

Kama kashindwa kulinda usalama wa wanafunzi, kwanini aendelee kuepo ofisini?
 
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.

Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo haijaisha muda wake, tofauti na hapo hauwezi kuruhusiwa kufanya mtihani.

Mfano 22-02-2023, hadi umefika muda wa kuingia kwenye mtihani baadhi ya wanafunzi hatuna vitambulisho, tunalazimishwa ku-pex mitihani tufanye mitihani maalum yaani Special Examination mwezi Septemba.

Nimeshuhusia baadhi ya Wanafunzi Wanawake wakiangua kilio kwa kushindwa kupata kitambulisho na muda wa mtihani ukiwa unakaribia.

Unadhani hapo utaingia ukiwa na akili tulivu hata kama itatokea umekipata dakika za mwisho, baadhi yao walikuwa wameshaamua kusogez mbele muda wa kufanya mtihani walipoona hadi 2 hours before mtihani hawajapata vitambulisho, wakaamua kuingia katika mfumo wa chuo na kubadili ratiba zao.

Ajabu wakati wakifanya hivyo wengine wakaambiwa wanaweza kutumia vitambulisho vya zamani kufanya mtihani, kwa ufupi ni mvurugano, hiki ni chuo kikubwa lakini kwa matendo kama haya inakuwa sio sawa.

Kingine ambacho tunajiuliza ni kuwa, je, tunaosogeza mbele muda wa kufanya mitihani hizo gharamia za nauli, chakula na nyinginrzo watazitoa wao? Huu ni uzembe wa uongozi wa chuo na tukifuatili hakuna sababu ya msingi wanazotoa, inaumiza sana.
Halafu chuo kitaanza kumsaka kwa mitutu ya polisi mtoa taarifa hizi.

Very shame
 
Back
Top Bottom