The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.
Salaam kwenu nyote.
Bima ya afya (NHIF) kwa watumishi wa umma inahudumia wategemezi watano mbali na mchangiaji mwenyewe. Wapo watu kadhaa ambao wameainishwa kuwa wanaweza kuwa wategemezi wa mwanachama mchangiaji endapo vigezo vitafikiwa.
Miongoni mwa wategemezi ni;mwenza, watoto na wazazi...
Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna wagonjwa wanaotumia bima ya afya wanavyohudumiwa.
Kuna siku nilimpeleka mgonjwa wangu aliyekuwa na jeraha...
Anonymous
Thread
afya
bima
bima nhif
bima ya afya
halmashauri
hospitali
hospitali ya wilaya
mufindi
nhif
sana
ubaguzi
wateja
wilaya
Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama NSSF, RITA, TRA na police kupata huduma mtandani ni haraka na uhakika.
Changamoto ya NHIF...
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
Anonymous
Thread
bima
hawataki
kijiji
nachingwea
nhif
wilaya
zahanati
Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza...
Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA,
Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA walitujulisha anahitaji upasuaji.
Daktari wa upasuaji Dr Hillary alitujulisha matibabu yake...
BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF.
Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY..
nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la maji mengi kichwani (Hydrocephalus) na akafanyiwa operation Hospitali ya Taifa Muhimbili, anatakiwa...
Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.
Apuuzwee polepole.
Kwa kweli sioni na hamna sababu kabisa ya watanzania kushindwa kuwa na bima ya afya kwa wote au kupata matibabu bure kama ilivyo Zanzibar.
Hili ni jambo la msingi sana na linaweza kuokoa maisha ya watanzania wengi ambao wanakufa kwa kukosa matibabu.
Kama imewezekana kwa watumishi kulipia bima...
Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili.
Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima.
Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya...
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja mpaka ulipie.. tena Bima ya mwajiriwa
Au labda package kachagua ndogo
Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma ya afya kama vile uzazi hospitali zinataka ulipie gharama za uzazi. Hili jambo halikuwepo zamani...
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
Habarini jamani...
Ni wiki sasa tuko nilivyoingia kwenye mfumo na kumoongeza mtegemezi kwenye mfumo wa NHIF( ambaye ni mwanangu).
Nakajaribu kusoma status nikaona ni "APPROVED" ila kibaya zaidi hadi Leo hii mfumo haujaniletea namba ya mtoto ili imsaidie katika matibabu yake.
Nimejaribu kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.