kukatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwakiIV

    KERO Kukatika kwa mawasiliano maeneo ya Goba Kulangwa

    Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza. Tafadhali wahusika...
  2. P

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  3. Buzi Nene

    Tetesi: KERO YA KUKATIKA UMEME WILAYA YA RUFIJI.

    Huku wilaya ya Rufiji umeme unakatika sana sana,kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 30 ,sio uongo ni kweli kabisa,wanaoishi huku ni mashahidi Mimi ninaisha Nyamwage hapa lakini hii imekuwa kero sana, hii shida imeanza muda mrefu ila kwa kipindi cha mwezi wa tatu na huu wa nne imezidi...
  4. Jidu La Mabambasi

    Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

    Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema. Umeme ulikatika karibia nchi nzima. Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima. Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
  5. A

    KERO Karatu umeme unakatika zaidi ya mara tano (5) kwa siku

    Umeme katika line ya KARATU maeneo ya NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa mara kiasi cha wananchi kuwa na hofu ya kuunguliwa na vifaa vyetu vinavyotumia umeme. Manager wa...
  6. M

    Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Je, ni kweli ugonjwa wa Pangusa usipotibika uume unaweza kukatika na kudondoka chini?

    Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku. Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
  8. TANESCO

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  9. W

    Hakuna Pombe, Sigara wala kukatika katika klabu mpya ya Kikristo. Je unaweza Kwenda?

    Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja. Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna...
  10. Melki the Storyteller

    Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂 Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
  11. Roving Journalist

    Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  12. R

    Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
  13. Izizimba

    Waliomponda Magufuli ndio hao hao wanaolamika umeme kukatika

    Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara. Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele. Suluhisho ni kutubu.
  14. Jaji Mfawidhi

    Mkurugenzi TANESCO apewe Tuzo, umeme Unapungua haujawahi katika! CHAWA ni kielelezo cha vijana walio tayari kufanya lolote kwa Dhumuni!

    Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako. Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    My Take Inatia hasira ila tutafanyaje, akili ndogo inaongoza akili ndogo
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    My Take Inatia hasira ila tutafanyaje, akili ndogo inaongoza akili ndogo
  17. Elli

    Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  18. A

    DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
Back
Top Bottom