mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Espoir_jnr

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  2. Ndombwindo

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ukibaraka wa Kweli nchi hii upo wapi? Kati ya mtindo wa Maisha ya Mwanasiasa na Mikataba ya hovyo ya Taifa

    Wana JamiiForums, Kuna wimbi la nyuzi za kijinga na za kipuuzi zinazoanzishwa wakati huu nchini, zikiongozwa na hofu kubwa ya maandamano na mabadiliko ya kisiasa. Katika nyuzi hizo, wapo wanaoibua hoja nyepesi kujaribu kumchafua Tundu Lissu kwa kumwita "kibaraka" wa nchi za Magharibi. Wanasema...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikataba batili ambayo akiondoka tu inafutwa sekunde hiyo hiyo maana haina baraka za "bunge" ( ingawa bunge haramu)

    Mpina: Serikali haiwezi kuaminika tena, imesaini mikataba ya siri ya Bandari, NHC, Ngorongoro, TFS, Makaa ya Mawe bila kibali cha Bunge
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Boni Yai jukwaani Kahama: Achambua "mikataba ya day waka" ya CCM kwa Jeshi la Polisi, ajira zao, vyeo, mishahara, pensheni kandamizi

    Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka Askari mwenye V tatu Mshahara 625,000 /= baada ya makato Huna V hata moja 228,000/= Hii iliongezwa kutoka 215,000/= Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka ! Miaka 6 ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Idara ya Ardhi Ilemela hakuna nidhamu, haijulikani mkubwa na mdogo, mikataba ya muda isitishwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi ili kuwahamisha watumishi waliokaa muda mrefu Mtanda ameyasema hayo wakati akisikiliza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TBS: Watumishi wa Mkataba walisitishiwa ajira zao kwa mujibu wa mikataba yao na taratibu zingine za kiutumishi

    UFAFANUZI KUHUSU WATUMISHI WA MKATABA KUTOTENDEWA HAKI Dar es Salaam, 10 Mei 2026 Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu watumishi wanaodaiwa kutokutendewa haki. Hoja ya awali ~ TBS haijatutendea haki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CAG: Baadhi ya Taasisi za Umma zilisaini mikataba bila mapitio ya Kisheria, ikiwemo TANESCO (Tsh. Bilioni 12) na UDOM (Tsh. Bilioni 4)

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56. Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
  10. O

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Umeme Tanesco sisi wafanyakazi wa S.T.E boresheni mikataba yetu au tupeni mikataba ya kudumu

    Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu 1. Mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja 3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja. Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  12. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  14. O

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  20. Twilumba

    JamiiForums Tanzania NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Back
Top Bottom