chuo

 1. Sunbae

  Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

  Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
 2. Sky Eclat

  Idea za nyumba za kupangisha wana chuo

 3. Meneja Wa Makampuni

  Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??

  Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
 4. AATANCHTRADING

  Biashara za mtaji mdogo ukiwa chuo. Anza kujifunza kuhusu biashara mapema

  Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
 5. Analogia Malenga

  Rais Samia aahidi Chuo Kikubwa cha TEHAMA

  Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
 6. R

  Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

  Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
 7. Red Giant

  Tugeuze uwanja wa ndege Chato kuwa Chuo cha Urubani

  Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena. Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za...
 8. M

  Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

  Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
 9. A

  Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

  Wanabodi Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala. Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki...
 10. Lycaon pictus

  Kuna chuo kinatoa degree ya Hesabu, chemistry, physics etc. Somo kama somo?

  Eti wakuu. Chuo gani Tz kinatoa degree ya physics, hesabu, biology au chemistry. Yaani somo kama somo.
 11. M

  Vijana wa Chuo Mwenge wamenikuta nakula hivi Usiku huu Wamenicheka je, Mimi na Wao waliokula Kiepe Mshikaki cha Kushea nani kala Afya?

  Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist ) Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa...
 12. C

  Chuo cha Mzumbe acheni uchoyo

  kichwa cha habari chajieleza. Chuo Kikuu Mzume Faculty of Law, wameweka website, mle ndani wameweka list ya unreported cases ambazo hata hawajadigest (kama mendez anavyofanya). Huwezi amini, wemerestrict case ambazo Mahakama inazitoa bure na hata kwenye magroup ya whatsapps tunashare bure...
 13. 44mg44

  Aliesoma BSC with education anaweza akawa mkufunzi wa chuo Cha ualim ngaz ya diploma?

  Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda, maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor?
 14. D

  Story of Change Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

  WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO. HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
 15. Meneja Wa Makampuni

  Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

  Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
 16. M

  Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

  Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
 17. Kitumba_

  Story of Change Vitu 7 vya kufanya kabla hujamaliza chuo

  Niwasalimu vijana walioko vyuoni, kwa kuwaandikia vitu muhimu ambavyo ni matuamaini yangu kila mmoja wenu atahitaji kuvifanya kabla hajamaliza masomo. . Ni muhimu mimi kuyazungumza haya kwa sababu kubwa mbili, Moja, kwa sababu nataka idadi kubwa ya vijana wawe na uwezo wa kutokutegemea...
 18. Z

  Nimekosa nafasi ya kujiunga na chuo cha wanyamapori Pasiansi

  Daah wakuu inaniuma sana kukosa nafasi kwenye hiki chuo cha wanyamapori Pasiansi. Ni chuo nilichokuwa napenda kwenda kusoma ila ndio basi tena nmekosa nafasi ya kuchaguliwa na sijui nifanyeje. Kwa wazoefu wa hiki chuo je kuna uwezekano wowote kukawepo na awamu ya pili ya majina? Maana kwenye...
 19. msovero

  UDSM ndio chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

  Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika. Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
 20. J

  Story of Change Vitu vinavyo wafanya wanachuo wengi kubadili tabia zao

  Wanafunzi wengi wanapokwenda chuo, huwa na mitazamo chanya kabisa juu ya maisha yao ya chuo yatakavyokuwa ikiwa ni pamoja na ndoto hadithi za ndugu na jamaaa marafiki waliowahi kuwa wanachuo kabla yao. Vijana wengi wafikapo vyuoni huwa na adabu na tabia njema, ikiwa ni pamoja na kuhudhuria...
Top Bottom