★ Asema mifumo ya utoaji huduma imedhibiti watu kati★ Akabidhi hati zaidi ya 800 za miliki za ardhi Mafinga
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema maboresho ya mifumo ya utoaji huduma za ardhi yamewezesha wananchi kupata hati za miliki kwa urahisi zaidi...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi.
Wito huo umetolewa na Afisa...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi.
Wito huo umetolewa na Afisa...
Chunya, Mbeya
Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi.
Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite, Kwaraa, Mjini Babati, kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 3, 2026
Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671.
Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
NJOMBE
Mwananchi kutoka Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, Bw. Leonard Paul Ngimba, ameonesha kuridhishwa na matumizi ya mfumo wa e-Ardhi baada ya kufungua maombi ya hati ya umiliki wa ardhi kupitia mfumo huo na kukamilishiwa huduma ndani ya siku moja.
Leonard ameyasema hayo leo, Septemba...
Tukielekea ukingoni mwa mafunzo ya mfumo mpya wa Ardhi kidijiti mkoani Kagera, wataalamu wa sekta ya ardhi wameanza kuonesha matokeo ya ujuzi walioupata kwa vitendo, ambapo hadi sasa hati nne za umiliki wa ardhi zimetolewa kupitia mfumo huo na wananchi husika wametaarifiwa kuzifata hati hizo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO
Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi.
Akizungumza katika...
Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu kucheleweshwa kwa mchakato wa usajili wa hati ya nyumba ya marehemu katika Ofisi ya Usajili wa Hati, Wizara ya Ardhi.
Mimi ni msimamizi wa mirathi ya marehemu baba yangu. Nyumba hiyo ipo Kigamboni, Dar es Salaam, ina ukubwa wa SQM 1,122 na hati yake imesajiliwa...
BALOZI MTEULE WA UJERUMANI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI KOMBO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani...
Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda kuwatakia Kila la kheri,nawatanzania nawatakia amani ya afya katika ardhi ya Tanzania chini ya kiongozi...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo.
Mhe. Mmuya ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.