ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Samia sasa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri

    Huyu Mama saa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri. Polepole na Nchimbi ni mfano wa hizo nyanya. Kwasasa anafurahia kwamba yupo kapuni lakini hajui kwamba anaenda kutupwa sio yeye tu bali na ndugu zake , machawa wake na hata wale wazuri. Ni miaka mitatu sasa nyanya hii inaendelea kuaribu...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  8. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Kariakoo kuna watu wanaweza kukuibia hela kichawi, zikiwa ndani ya wallet yako, bila kuchana begi wala kukupora?

    Nimeibiwa 200,000/ hela ya Marekani imebaki, hela ya Kenya imebaki. Nilikuwa naenda kununua gauni la kuvaa harusini jumamosi. Vitambulisho vimebaki. Hiyo pesa nilitoa kwenye ATM ya hapo CRDB Uhuru street, nikaidumbukiza moja kwa moja kwenye wallet, kisha nikaiweka ndani ya pochi. Nilipofika...
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Je umejiandaaje na mvua za El Nino? Weka ndani vitunguu First Class, kilo 3 ½ kwa sh. 10,000/- utaletewa popote ulipo Dar

    Pata vitunguu vizuri, vikubwa, vimekomaa na kukauka vizuri sana. Kilo tatu na nusu utapata kwa sh. 10,000/- na utaletewa bure, popote ulipo Dar. Piga simu 0657 992 994 Au 0712 177 287
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Soma na sikiliza vitabu ndani ya Maktaba.co.tz

    Ndani ya Maktaba.co.tz unaweza kusoma na kusikiliza vitabu karibu 140. Gharama ni kuaznia Tsh 1,500 kwa mwezi. Unatumia kwa simu au PC. Karibu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania [KERO/DOKEZO]: HUJUMA YA TIKETI ZA SGR: MTANDAO UNAONYESHA "SEATS FULL" WAKATI MABEHEWA YAPO WAZI, NANI ANANUFAIKA NA MKAKATI HUU? Chaguo

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro, na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha saneta kali Kareni Nyamu azua Gumzo nchini kenya baada ya kupigwa picha akinyonya kidole gumba ndani ya bunge ,je kunyonya gumba ni ishara mpw

    Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme . Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa USSR
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kuhusu nyumba za walimu zinazodaiwa kuuzwa katika Shule ya Mahenge, Ulanga

    Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana. Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Bus kuwa na choo ndani siyo kigezo cha kuitwa Luxury

    Hii nimeikuta huko kwenye majukwaa menginem imezoeleka hapa Tanzania kuyaita mabasi luxury endapo yakiwa na: Vimulimuli kwenye roof Taa za mapambo nje na ndani Muziki mkubwa Carpet Rangi nyingi Wheel caps Dereva na wahudumu wamevaa tai GARI KUWA NA CHOO PEKEE SIO KIGEZO CHA GARI HILO KUWA...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MIRADI 14 MIKUBWA YA MADINI KUFUNGUA FURSA KWA MAKAMPUNI YA NDANI

    Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  18. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

    Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni: 1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk. 2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
Back
Top Bottom