Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na rafu za dawa katika zahanati za Seseko na Ihapa.
Thamani ya kazi hiyo ilikuwa jumla ya Sh8,720,000...
Anonymous
Thread
kutengeneza
manispaa
mjini
naomba
pesa
shinyanga
shinyanga mjini
wilaya
zahanati
Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22.
Hali hiyo inaathiri sana familia zetu...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid ambaye ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo baada ya kukamilisha mchakato wa kuteua wakurugenzi wa Halmashauri...
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KITENDO CHA WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA CHA KUNINYANYASA, KUTUMIA NGUVU NA KUMCHUKUA MFANYAKAZI WANGU
Mimi mmiliki/mwajibikaji wa ofisi iliyopo Ilala, nawasilisha malalamiko rasmi kuhusu tukio lililotokea katika ofisi yangu, ambapo kundi la watu takribani kumi waliodai...
Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka.
Hatujui ni wapi pakupakia wala kushusha, tunakamatwa na kutozwa pesa nyingi kila mara imekuwa ni bora ukamatwe na Traffic Police na...
Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama.
Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida!
Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu.
Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro.
Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Moshi.
Moja ya jambo alilokemea ni kuwepo na mvutano baina ya...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa...
Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity.
Hiyo ni katika mchakato wa...
Anonymous
Thread
hospitali
jengo
kupitisha
kutoka
kwenda
manispaa
moja
njia
singida
wagonjwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani!
Nini kitatokea wakati wa mvua za El Nino tusubiri tuone utafiti huu mpya.
Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni katika Manispaa ya Kahama imekuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na hali yake kuwa mbaya kwa muda mrefu.
Ubovu wa barabara hiyo unasababisha usumbufu na changamoto mbalimbali kwa watumiaji, hususan kina mama wajawazito, wagonjwa na waendesha vyombo vya...
Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa.
Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma.
Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma maji. Hata hivyo, TANESCO Mkoa ilikanusha taarifa hiyo, ikisema hakuna upungufu wowote wa umeme katika...
Anonymous
Thread
maji
manispaa
mmoja
musoma
mwezi
mwezi mmoja
shida
shida ya maji
zaidi ya
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji.
Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.