wazanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini amewekwa Mtanganyika mmoja na Wazanzibari watatu why?
  2. Mto Songwe

    Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  3. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  4. R

    Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

    Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2. Anadaiwa kudharau kila kiongozi aliyepo chini yake 3. Anawafokea na kuwanyanyapaa viongozi wenzake...
  5. Pascal Mayalla

    Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
  6. benzemah

    Fatma Karume: Muungano Haujaathiri Wazanzibari

    MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. - Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). - Fatma akasema tangu Tanganyika...
  7. Lycaon pictus

    Video: Wazanzibari wakimchamba bundi

    Kwa kweli Afrika inafurahisha sana. https://www.instagram.com/reel/CyG1sXhrion/?igshid=NjZiM2M3MzIxNA==
  8. The Evil Genius

    Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  9. ubongokid

    Je Kuna Vita kati ya Watanganyika na Wazanzibari

    Habari za Wakati huu; Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari...
  10. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
  11. Zanzibar-ASP

    Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  12. Mwande na Mndewa

    Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

    Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano. Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
  13. Nsanzagee

    Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  14. K

    Ukitaka Kujua ni Jinsi Gani na Kiasi Gani WaZanzibari Wanautaka na Kuufaidi Muungano

    Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano. Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe. Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
  15. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  16. Mag3

    Kwanini Wazanzibari hawalalamikii Mkataba wa DP world kuwatenga wasinufaike na wao!

    Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa. Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na...
  17. P

    ORODHA YA WAZANZIBARI WALIOPEWA VYEO KWENYE TAASISI ZISIZO ZA MUUNGANO

    Hii ni mojawapo ya kero kubwa ya Muungano, ambapo kuna wazanzibari wameanza kujazwa kwenye nafasi na vyeo kwa Wizara na Taasisi zisizo za mungano. Capo Wakuu wa Wilaya, Ma RAS, DAS na DED. Mfano Mkuu wa Wilaya Mkuranga yule dada ni mzanzibari mtoto wa Rafiki yake Kiongozi wa Juu wa nchi. Haki za...
  18. Mkwawe

    Wazanzibari wakati muafaka wa kuwa na mamlaka yenu kamili ni Sasa, Hakuna wakati mwingine

    Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa...
  19. T

    Ninaamini, leo angelikuwepo Mwl. Nyerere, angekuwa wa kwanza kusema yalikuwa makosa kuwapa Wazanzibari Ardhi ya RAZABA huko Bagamoyo

    Hadi hivi sasa huko Razaba, kuna watu wanaendesha shughuri zao za kila siku, na hii ni kwa sababu, hapakuwa na kufahamu iwapo eneo hilo linamilikiwa na Wazanzibari Unajiuliza, watu hao sasa wahamie wapi Kwamba nchi iliyo na watu milioni 59+ igawe aridhi yake kwa nchi yenye watu milioni 1+...
  20. sky soldier

    Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
Back
Top Bottom