bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Zamalek watishia kujiengua mashindano ya klabu bingwa Afrika

    Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu shiriki. Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya...
  2. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Nimepata Vision: Hispania Bingwa World Cup 2026

    Bingwa World Cup 2026 ni Hispania. Hawa madogo ni wapambanaji. Wameruhusu goli moja tu mpaka sasa. Sioni Ufaransa akitoboa. Aje Uingerea au Argentina fainali atakalishwa tu. Hayo ni maono yangu. Sijawahi kukosea. Timu Ronaldo na Timu Messi kafieni mbele huko. Spain Bingwa WC 2026. Tukutane 2030
  3. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania 4 July 2026 Cape verde atamfunga Argentina na kumtoa, ila Fainali wataingia France na England na Bingwa wa Fifa World Cup 2026 atakuwa England

    Mods msiunganishe huu Uzi hili ni muhimu. Huu sio utabiri ndo kitakachotokea. Fainali wataingia France na England ila England atabeba ubingwa wa Fifa World Cup 2026.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Tukitendewa kwa usawa bingwa atapatikana kwa haki

    Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa usawa, na kukiwa na mashindano ya haki, naamini bingwa anaweza akapatikana vizuri."
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jurgen Klopp: Kama VAR imekataa goli lile la Ujerumani basi Arsenal haikustahili kuwa bingwa wa Premier League

    "Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.” Juni 30, 2026 Jurgen Klopp 'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany Germany thought their...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa Kombe la Dunia 2026 atapata Tsh. Bilioni 131, wa Pili Tsh. Bilioni 92

    World Cup 2026 prize money – how much do teams earn for taking part and winning? THE 2026 FIFA World Cup will reportedly have a record prize pool, a stark increase from the £380million ($440m) up for grabs in 2022. This prize money is set to be split between the 48 competing teams. Here we...
  7. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM kushirikiana na madaktari bingwa nchini kutafuta suluhu ya magonjwa ya ndani

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo tarehe 29 Mei 2026 katika ukumbi wa Dodoma City Hotel jijini Dodoma. Lengo la kongamano hilo ni...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bingwa Wa Dunia Wa Masumbwi Crawford Kuitangaza Serengeti Kimataifa

    Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya kukutana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji. Tukio hilo limefanyika ndani ya Hifadhi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Udaktari Bingwa Bugando wanaosomea Mifupa walalamikia kufelishwa makusudi, waomba mamlaka kuingilia kati

    Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii. Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Austin Pillado - Kocha bingwa wa michezo ya uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

    HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi maalumu ya mafunzo ya kuogelea kwa muda wa siku 10. Kambi hiyo inayofanyika jijini Dar es Salaam...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kumpata Bingwa Kwa kuangalia Head to Head endapo timu ziki tie poinits, ni wa ovyo

    Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
  16. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kwa 100% bingwa wa EPL ni Arsenal NBC wana Lunyasi bado, MO ana Drama sana kasajili nini? Anavuna asipopanda na ngojera ya 87B

    Habari Wana Sports, Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu. Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE. Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

    Habari wadau, Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha. Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Na Emily Mwakilembe Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD: Madaktari bingwa wameongezeka kutoka 5 hadi 2,369 ongezeko la mara 464 wakati bajeti imeongezeka kutoka TZS900bn hadi TZS1.6Trilioni 2025|26

    Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
Back
Top Bottom