maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. bush crazy

    Watumiaji wa posta hii ina maana gani!

    Habari za Leo wanajamii forum. Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS. Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini. Je mzigo umefika au Bado.
  2. T

    Maana ya neno "INRI" lililoandikwa juu ya msalaba mda kama huu

    Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi haya yaliandikwa na Pontio Pilato na kuwekwa juu ya Yesu msalabani. Biblia inasema kwamba maandishi...
  3. Paspii0

    Usisubiri uchelewe ndipo uanze kuelewa maana ya maisha

    Ndugu zangu wa thamani, Tunapoelekea sherehe za Pasaka ,tunapoadhimisha kifo na ufufuko wa Yesu Kristo ,binafsi napenda kuwaachia maneno haya kwa tafakari na tathimini ya maisha kibinafsi kwa mmoja wetu ………! “Kabla sijakuumba katika tumbo la mama yako, nalikujua…” (Yeremia 1:5) Maneno haya...
  4. M

    Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  5. C

    "Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"

    "Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga" Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda. Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule. Unga LTD, Daraja Mbili, Mbagala na Tandika hakuna...
  6. Program Manager

    Nini maana ya ndoto hii?

    Mwenye kuelewa maana ya ndoto hii na anipe tafsiri. Tulikuwa tuna kampeni za uchaguzi mkuu, Mimi nilikuwa Mfuasi wa Chama Fulani Cha upinzani lakini nilikodiwa kufanya kampeni kwenye chama kinachotetea kiti. Mgombea wa Chama kilichonikodi ni mama,naye alikuja kwenye kampeni hizo Kwa malengo...
  7. Komeo Lachuma

    Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  8. F

    Airtel Money hii maana yake nini kuidhinisha malipo bila idhini ya mteja. ( Kuna mchezo gani unaendela hapo Airtel Money)

    Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. " Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka lini Google Play ikalipiwa? Nimepiga simu kuongea na huduma kwa wateja aliposikia tu shida yangu...
  9. Webabu

    Wanaojua kimombo tusaidieni,Trump anaposema “These countries are calling us up. Kissing my ass" ana maana gani.

    Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara. Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na kuona kama ni matusi makubwa.
  10. K

    Pre GE2025 Rais Samia elewa No reform maana yake ni damu za Watanzania

    Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako. Ni...
  11. I

    Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
  12. Manfried

    Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  13. KING MIDAS

    Fumbo hili la kuku lina maana gani nyumbani kwangu?

    Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba. Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike. dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu. Broiler...
  14. Money Penny

    Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  15. GENTAMYCINE

    Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  16. GENTAMYCINE

    Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  17. Tajiri Sinabay

    Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  18. PathwayzZote

    Wenye malengo ya kukwea mamtoni kwa njia ya UFADHILI wa masomo njooni hapa kwanza tuone tunafanyaje maana tukisubiri CONNECTION tutaisha

    HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa Ila kwa...
  19. Allen Kilewella

    Kama hii ni kweli ndiyo maana CCM huwa wanaiba

    Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma. Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake. Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
Back
Top Bottom