Naomba utaratibu wa kuonana na Kuhani Musa Uso kwa Uso

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Wadau,

Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.

Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake

NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona yeye kama yeye, ili nisipate hasara
 
mama D kuna mtu anahitaji muongozo hapa,

Mtoa mada ongea na mama D, atakuelekeza vizuri kabisa kuhusu jambo lako, na unaweza tazama baadhi ya mabandiko yake ya nyuma amewahi kumuelezea vyema kabisa pia..!!

Mungu akusaidie ukafanikiwe..!!
 
Kwanini usiomuombe mungu moja kwa moja mzungumze hizo changamoto kuliko kupitia kwa madalali??!! BTW kuna gharama ya kuonana na kuhani, hiyo gharama ningekushauri tu ni bora ungeenda kuipigia bia huku ukitafakari namna ya kuchomoka kwenye hizo changamoto.

Africa is the proof that religion can not solve any problem
 
Wadau
Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye
Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake
NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona yeye kama yeye, ili nisipate hasara
aliyekupa sifa zake anaweza pia kukuelekeza yote unayohitaji
NB; Yesu aliagiza tuombe kupitia jina lake na siyo tuombewe
 
Una matatizo unaenda kuongeza matatizo mtafute Mungu hata huko uliko kuna watumishi wa Mungu wa kweli achana na hao manabii wa uongo mpendwa! Wewe nenda ukauze nafsi yako, utakapokuwa unachemka kwenye moto wa jehannum ndipo utakapoyakumbuka haya maneno!! Yesu yupo hata hapo ulipo tatizo ni imani yako tu mpendwa!
 
Asante. Nimekucheki inbox
 
Wadau,

Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.

Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake

NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona yeye kama yeye, ili nisipate hasara
Ulizia habari za nabii kiboko ya wachawi yuko pale buza, tafuta nambake tu inatosha anakusaidia huko huko ila ukifanikiwa usisahau sadaka
 
Wote hao ni watumishi wa shetani, shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake!! Achana na hizi habari za manabii wapendwa! Kuna wachungaji wa kweli na kupitia Jina la Yesu unakuwa huru kabisa!
 
Back
Top Bottom