fidia

 1. J

  Kinana: Mchungaji Msigwa ni muungwana, aliniomba radhi baada ya kushindwa kunilipa fidia baada ya kutiwa hatiani nami nimemsamehe

  Katibu mkuu mstaafu wa CCM Mzee Kinana amemsifu Mchungaji Msigwa kwa uungwana wa kuomba radhi kwa uzushi aliomzushia. Kinana anasema baada ya uzushi huo alimshtaki Msigwa Mahakama Kuu ambapo alikutwa na hatia na kutakiwa kumlipa fidia Mzee Kinana. Baada ya hukumu mchungaji Msigwa alimtafuta...
 2. J

  Nyumba ya mbunge Msukuma yabomolewa baada ya kujifanya mbabe kwa kukataa fidia ya sh milioni 70

  Nyumbs ya mbunge wa Geita vijijini iliyoko Ilemela jijini Mwanza imebomolewa na serikali baada ya mbunge huyo kugoma kupokea fidia ya sh milioni 70. Mbunge huyo mh Joseph aka Msukuma anadaiwa kuonyesha ubabe baada ya nyumba yake kufanyiwa tathmini na alipoona amebanwa kila kona alikimbilia...
 3. Geeque

  Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

  Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
 4. N

  Mbinu zinazotumiwa na Wazungu kutusahaulisha tusidai fidia ya mateso waliyowapatia ndugu zetu

  Mbinu hizo ni 1. Demokrasia 2. Mikopo 3. Haki za Binadamu 4. Kupandikiza Viongozi wa kuwasaidia kuwapumbaza Waafrika wasahau Mateso waliyowafanyia Wazee wetu. 5. Mfumo wa Elimu 6. Kutukuza Lugha zao na Ufadhili wa kusomeshwa. 7. Misaada yenye Mashariti nafuu. 8.Kukudumaza uwezo wa kufikilia ili...
 5. Analogia Malenga

  Wanandoa wadai fidia baada ya kanisa lao kuvunjwa saa 48 kabla ya ndoa yao

  Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa Mwanasheria wa wanandoa hao alisema kuwa wateja wake wamekuwa na hali ngumu hivi sasa kisaikolojia na wameingia madeni...
 6. J

  Waziri mkuu Majaliwa: Wananchi wa Kigoma wanaongoza kwa kupenda kulipwa fidia na hivyo wanajicheleweshea maendeleo

  Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara. Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima. Kadhalika...
 7. mwanamwana

  Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

  SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
 8. beth

  Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

  Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
 9. FRANCIS DA DON

  Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

  Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
 10. elivina shambuni

  Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

  JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
 11. S

  Dodoma: Bunge lakubaliana kuwa Wanaoambukizwa Virusi vya UKIMWI makusudi walipwe fidia

  Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakama kutoa amri ya fidia kwa mtu ambaye ameambukizwa VVU kwa makusudi Pia, Bunge limepitisha umri wa mtoto kujipima VVU ni 15, huku wabunge wa upinzani wakitaka iwe...
 12. Kaka Pekee

  Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

  Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Top Bottom