HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi.
Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo.
Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache.
Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu.
Usitarajie...
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano
kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni
Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi?
Kama...
Habari zenu wakuu.
Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal.
Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma.
Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
Wakuu I salute you kinsmen
Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu.
Mosi
Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu.
Tatizo ni...
Nairobi: Tukio la kushangaza lilitokea Alhamisi katika kampasi ya JKUAT Karen baada ya msafara wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuzuiwa kuingia katika chuo hicho.
Sifuna alikuwa amealikwa na viongozi wa wanafunzi kuhudhuria Law, Policy and Governance Forum, iliyolenga kujadili sheria, sera na...
Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi.
Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni...
Pakistani: Waziri wa Ulinzi Khawaja Asif anaripotiwa kuonya kwamba kuendelea kwa mashambulizi kutoka Yemen dhidi ya Saudi Arabia kunaweza kulazimisha Islamabad kuingilia kati kwa sababu ya ahadi zake za ulinzi wa pande zote. Pakistani, Saudi Arabia na Uturuki zilisaini mkataba wa ulinzi wa pande...
Ndugu zangu..
Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..
I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.
I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa kozi, ulipaji ada nk.
Utaratibu uliopo ni kwamba Mwanafunzi hawezi ingia kwenye mfumo huo akiwa nje...
Anonymous
Thread
chuo
kina
kuingia
mbovu
mfumo
sua
utaratibu
utaratibu mbovu
Israeli inajiandaa kwa uwezekano wa vita vingine vya kushtukiza, wakati huu katika nyanja nyingi.
Mkuu wa jeshi Eyal Zamir alisimamia zoezi la utayari wa kushtukiza lililobuniwa kulingana na masomo ya Oktoba 7.
Israel iko tayari kujibu haraka na kwa nguvu shambulio lolote kile kutoka Iran!!
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi
Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE
Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
Tuliambiwa tumesajili Doumbia wa ukweli kutoka ligi kuu ya Mali, tena alikuwa mfungaji bora kwenye ligi hiyo. Hiyo ni taarifa ya kweli.
Lakini ligi kuu ya mali si chochote kitu, si miongoni mwa kumi bora katika mkeka wa ubora wa ligi kuu hapa Afrika. Mkeka huo huu hapa:
Top 10 African Football...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani.
Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
Anonymous
Thread
basi
dodoma
kuingia
kulipia
kupanda
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
tiketi
ushuru
wazi
wizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.